KUMILIKI BLOG

Augustine Genius

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2016
Posts
1,220
Reaction score
1,498
Habari wana JF?
Nashawishika kumiliki Blog lakini sina uelewa wowote kuhusu mambo ya hizo blogs.
Naomba kujuzwa yafuatayo kabla sijachukua uamuzi;

1. Jinsi ya kufungua hiyo blog
2. Jinsi ya kuimiliki na kuiendesha
3. Nitanufaika vipi na hiyo blog?
4. Gharama za kuindesha hiyo blog

Na mengine ambayo sijayataja hapo mnaweza kunisaidia kuyaelewa.

Asanteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…