[emoji2] [emoji2] [emoji2] eti kiarufu cha bakery. Ni kwa nini sisi binadamu hatuwezi kukihisi( smell)
"Bakery ndogo" [emoji23]Anafanyiwa operation ya kutoa tumbo la uzazi (Uterus) pamoja na kutoa mifuko ya kutotolea mayai (Ovaries).
Ni vizuri kumtoa ovaries ili asiwe anaingia kabisa kwenye mbaramwezi na asiwe anatoa kile kiharufu kama cha "bakery ndogo" ambacho ndo huwa kivutio kikubwa kwa madume yasiyo hasiwa.
Nasubiri mrejesho mkuu,baada ya kukutana na daktari alikushauri nini?ASante mkuu nilimtafuta dactari wa mifugo na mafanikio nimeyaona.
Nasubiri mrejesho mkuu,baada ya kukutana na daktari alikushauri nini?
Nasikitika kukuambia kua mmbwa wangu alipotea,nimemtafuta bila mafanikio!kwa sasa nafuga paka!Nasubiri mrejesho mkuu,baada ya kukutana na daktari alikushauri nini?
Nilitaka kujua daktari alikuambia nini kuhusu kumhasi Mbwa haijalishi amepotea au alikufa.Nahitaji jibu la kitaalam MkuuNasikitika kukuambia kua mmbwa wangu alipotea,nimemtafuta bila mafanikio!kwa sasa nafuga paka!
Leo mbona kafufuka.umejiunga jul 2018 ,mtu wa mwisho ka comment mwez march sijui apr 2018 . ww umefukua tuu[emoji2960][emoji2960]
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikua jike,nilitaka asiweze kuzaa!Nilitaka kujua daktari alikuambia nini kuhusu kumhasi Mbwa haijalishi amepotea au alikufa.Nahitaji jibu la kitaalam Mkuu