Mimi Naamini kiumbe bora ni kile ambacho hakiwazi ngono kabisa, Africa tupo hapa kwa ajili ya kuendekeza chini sana hata ww usipokuwa utumwa wa ngono utapga hatua sana , Fanya sex kwa ajili ya kuzaliana sio starehe
Mbwa alohasiwa huwa na afya nzuri.
Enzi hizo kabla somo la agriculture halijafutwa mashuleni tulifundishwa kuwa castrated animal ana sifa zifuatazo:
~Msikivu na mwenye kufundishika ndo mana ng'ombe wa kulima huhasiwa.
~Huwa na afya nzuri
~Huwa na nguvu
~Docile/mpole ila kwa mbwa hii siyo sifa nzuri ingawa sifa ya kufundishika itambeba, unaweza kumfundisha ulinzi.
Anafanyiwa operation ya kutoa tumbo la uzazi (Uterus) pamoja na kutoa mifuko ya kutotolea mayai (Ovaries).
Ni vizuri kumtoa ovaries ili asiwe anaingia kabisa kwenye mbaramwezi na asiwe anatoa kile kiharufu kama cha "bakery ndogo" ambacho ndo huwa kivutio kikubwa kwa madume yasiyo hasiwa.