brightmind
Member
- Dec 24, 2018
- 72
- 103
Habari wanaJF,
Kwanza nianze kwa kuwauliza wanaume, ulishawahi kumfikisha mwanamke kileleni?
Kama NDIO tupatie maujanja uliyotumia hapa ili wahanga wapate matibabu.
Kwa wanawake: Je, ulishawahi fikishwa kileleni wakati wa tendo?
Kama NDIO, toboa siri kwa wanawake na wanaume maujanja yaliyosababisha.
NILIWAZA SANA.
Nimeandika huu uzi baada ya kumwona dada mmoja akifanya mahojiano na vituo kadhaa vya radio na online TVs kuwa kiwango cha wanawake wanaoingia katika vitendo vya usagaji ni wengi kwani huko wanafurahia zaidi kuliko wakiwa na wapenzi wao wa kiume.
Yeye kama mshiriki mstaafu, alisema kuwa ndoa nyingi alizivunja kwa wanawake kulalamika wanaume wao hawawafikishi kileleni hivyo yeye aliwasaidia zaidi. Na alikiri wasagaji wanazidi kila uchao.
KARIBUNI KWA ELIMU TIBA.
NB: Kama huna uzoefu wowote usilete mawazo hasi.
Sent using Jamii Forums mobile app