Yuko staff room anakungoja akupe salute ya mgeni siku ya kwanza mpe papa na kitumbua na sambusa Ndani ya kipochi unyoya.
Mgeni siku ya pili mpeleke ufukweni akajivinjari na kazi za pwani. Pwani Kuna kazi kubwa moja, kupara, Kuna kupara samaki na kupara-miwa