Kumekucha!

Nashukuru wote kupata hisia za zamani. Maana kipindi hicho watu tulikuwa kweli tuna mipango ya kujenga nchi; ila sasa hivi cjui ni kitu gani kimeharibu akili zetu?
Kila mtu anajifikiria mwenyewe na familia yake. Tunamkumbuka sana Nyerere kwa kutuunganisha Watanzania.
Kila mtu alijihisi shujaa katika nafasi yake. Tujitahidi kurudisha Uzalendo huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…