Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 242
Bora wameonyesha njia.....ningefurahi makao makuu wangeunga mkono hoja!!!:amen:
Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoani Mara umetaka serikali kutamka kwamba Dowans ni kampuni hewa na kwamba isilipwe hela yoyote. Uamuzi huo umefikiwa baada ya mkutano wa baraza hilo chini ya Mwenyekiti wake Marwa Mathayo.
Source: ITV "Hapa na Pale" news programme saa 12 jioni hii.
My Take:
Inavyoonekana RA hajawawahi vijana hawa, wamemshtukizia tu. Lakini hata hivyo hiyo ni changamoto kubwa kwa UVCCM hapa nchini.
hao vijana wamepotoka tu, hawajui kama sisiem ina wenyewe na wenyewe ndiyo hao wanaotetea malipo yafanyike haraka, mbele ya Makamba hao lazima walimwe karipioBora wameonyesha njia.....ningefurahi makao makuu wangeunga mkono hoja!!!:amen:
Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoani Mara umetaka serikali kutamka kwamba Dowans ni kampuni hewa na kwamba isilipwe hela yoyote. Uamuzi huo umefikiwa baada ya mkutano wa baraza hilo chini ya Mwenyekiti wake Marwa Mathayo.
Source: ITV "Hapa na Pale" news programme saa 12 jioni hii.
My Take:
Inavyoonekana RA hajawawahi vijana hawa, wamemshtukizia tu. Lakini hata hivyo hiyo ni changamoto kubwa kwa UVCCM hapa nchini.
Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoani Mara umetaka serikali kutamka kwamba Dowans ni kampuni hewa na kwamba isilipwe hela yoyote. Uamuzi huo umefikiwa baada ya mkutano wa baraza hilo chini ya Mwenyekiti wake Marwa Mathayo.
Source: ITV "Hapa na Pale" news programme saa 12 jioni hii.
My Take:
Inavyoonekana RA hajawawahi vijana hawa, wamemshtukizia tu. Lakini hata hivyo hiyo ni changamoto kubwa kwa UVCCM hapa nchini.
Ngoja wacheze na wakurya hawa jamaa hawajali cha cc wala nini watahamia upinzani wote wala hawana chakupoteza. Hawa hufaata haki tu hawajui kuumauma maneno. Huu ni mwiba makli kwa ccm hawatalala hapa. Haya ndiyo yanayotakiwa yatokee. Hivi sahani ya udongo wa kichina ikianguka sakafuni pwaaaa unaweza kuiungaunga upate kitu kizima tena? Ccm ni kama sahaani la undongo limechezewa sakafuni na watatoyo wameliangusha chini pwaaa sasa ni vipande vipande tu. Mkwere atweza kuokoteza na kuungaunga tena iwesahani yakupakulia mgeni chakula? Hatakama likirudishiwarudishiwa bado litakuwa bakula kulia mbwa tu! Hilo ndo ccm tam ala mbovu!Inapendeza kuona kua wameanza kutambua kua wakubwa zao wanafanya madudu!!!!!!!!!!!!!
Bora wameonyesha njia.....ningefurahi makao makuu wangeunga mkono hoja!!!:amen:
Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoani Mara umetaka serikali kutamka kwamba Dowans ni kampuni hewa na kwamba isilipwe hela yoyote. Uamuzi huo umefikiwa baada ya mkutano wa baraza hilo chini ya Mwenyekiti wake Marwa Mathayo.
Source: ITV "Hapa na Pale" news programme saa 12 jioni hii.
My Take:
Inavyoonekana RA hajawawahi vijana hawa, wamemshtukizia tu. Lakini hata hivyo hiyo ni changamoto kubwa kwa UVCCM hapa nchini.
Ngoja wacheze na wakurya hawa jamaa hawajali cha cc wala nini watahamia upinzani wote wala hawana chakupoteza. Hawa hufaata haki tu hawajui kuumauma maneno. Huu ni mwiba makli kwa ccm hawatalala hapa. Haya ndiyo yanayotakiwa yatokee. Hivi sahani ya udongo wa kichina ikianguka sakafuni pwaaaa unaweza kuiungaunga upate kitu kizima tena? Ccm ni kama sahaani la undongo limechezewa sakafuni na watatoyo wameliangusha chini pwaaa sasa ni vipande vipande tu. Mkwere atweza kuokoteza na kuungaunga tena iwesahani yakupakulia mgeni chakula? Hatakama likirudishiwarudishiwa bado litakuwa bakula kulia mbwa tu! Hilo ndo ccm tam ala mbovu!
....ningefurahi makao makuu wangeunga mkono hoja!!!:amen:
Nasubiri kwa hamu kusikia kauli ya UVCCM-Taifa. Ipinge malipo? Labda over Riz-One's dead body.
I'm sure walikuwa wana jokeNina wasi wasi kama watasema vyombo vya habari vimetu-quote vibaya watuombe msamaha, ngoja tusubiri tuone.