Habari Makamanda wa UKAWA!!
Ile Siku Tuliyokuwa Tukiingoja Kwa Hamu Hatimaye Imefika,.
Timu ya UKAWA Ikiongozwa Na Prof. Ibrahim Haruna Lipumba Itarindima Leo Katika Viwanjwa Vya Matarawe Kuanzia Saa Tisa Alasiri!!
Wajulishe Na Makamanda Wengine Tuhudhurie Kwa Wingi Mpaka Magamba Waone Wivu!!
Aluta Kontinua,..
Sheria ya mabadiliko ya katiba inasema mchakato upelekwe Matarawe?acha kukariri mkuu,.
Katiba haipatikani Matarawe ila inapatikana bungeni
Katiba haipatikani Matarawe ila inapatikana bungeni
Katiba haipatikani Matarawe ila inapatikana bungeni