Kwasababu aliyekuwa ana act ni mbabaishaji na hafai kuwa CAG. Alitumia sakata la Escrow kujikomba kwenye system badala ya kunyoosha mstari kama alivyokuwa boss wake aliyestaafu. CAG gani haju kama fedha ni za nani wakati huo fedha hizo zipo BOT? "eti zile fedha zinaweza kuwa za serikali ama sio za serikali. BOT inakaa fedha ya umma tu. Full stop. Huyu fara Kikwete kamtendea haki kutokumteua.
Aliyeteuliwa alikuwa ni mwalimu chuo kikuu na ni prefossor. Uzoefu umeonyesha kuwa wanaodandia siasa kwa mbele yaani wanojiunga na siasa uzeeni wakiwa maprofessor wengi ni feki kasoro Mwandosya tu. So huyu sitegemei jipya. Kubobea kwenye uhasibu na kuongoza ukaguzi na udhibiti ni vitu viwili tofauti japo vinahusiana.
wewe chizi ulichoandika hata hakieleweki, ebu rudia kusoma comment yako inawezekana wewe mwenyewe usielewe.
Prof. Mussa Assad ni mtu mweledi na msomi mwenye msimamo thabiti, hawezi kufanya ujinga wa aina yoyote. Yeye ni professional aliyebobea. CAG alituachia swali gumu ambalo linatakiwa kupatiwa majawabu: kwamba kwenye pesa za escrow huenda kuna pesa za serikali, je ni kaisi gani ama angetupatia scenerio analysis ya kuonyesha hizo pesa za serikali na ambazo si za serikali ni zipi.
Mi nilishtuka tangu siku Pinda anaahilisha Bunge, alipopayuka eti wanamwachia Kazi CAG abaini fedha ni za nani? kwa matamshi yale ina maana wanamtaka CAG aainishe kwa matakwa yao na si kwa uhalisia,
kazi iliyokuwa mbele ni TAnesco ku re calculate na kujua pesa yao kiasi gani na Kodi kiasi gani sasa haya mambo ya CAG kuanza tena kutathmini, anatathimni kipi, anatathmini kazi ya CAG mwenzake? haamini alichokianza mwenzake? aangalie sana asidhani hii nchi ni ya wateule wachache.
huyu CAG kuna mchezo ameelekezwa aucheze ILA KITANUKA! Na heshima yake itakuwa historia!
labda kuna kitu ambacho binadam wengi hatukijui ktk siasa.ni hivi; katika siasa siku zote uteuzi unafanyika ili mteuliwa akalinde aidha maslahi binafsi ya mtu au tasisi iliyomteua au mfumo ambao mteuliwa anaenda kuutumikia.na wakati mwingine kulinda vyote;yaani mfumo na maslahi ya mtu au tasisi uliyomteua. Kwa hiyo uteuzi wa cag umezingatia mahitaji ya mfumo uliopo madarakani na agenda za mteuzi wake.kwa hiyo cag atafanya kazi kwa kuzingatia na kufuata maelekezo ya kikwete na sivinginevyo. Hivyo tusitegemee jipya...
Baada ya CAG mpya kupitia ripoti ya CAG wa zamani na kusema FEDHA SIYO ZA UMMA!