Kumekucha: Oman nako wawili wauwawa katika maandamano wakidai mabadiliko

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234

Deaths in Oman protests

Muscat, Oman
Sunday

At least two people killed in industrial town of Sohar as police clash with anti-government demonstrators.

Oman has seen demonstrations, but protesters have emphasised their loyalty to Sultan Qaboos [Reuters]

At least two people have been killed in an industrial town in Oman, after police fired rubber bullets on anti-government protesters.

The military moved in to secure an area in the town of Sohar on Sunday where demonstrators had gathered to demand political reforms, according to witnesses reported by the Reuters news agency.

"Two were killed after being shot with rubber bullets as protesters attempted to storm a police station," a security official said requesting anonymity.

State news agency ONA confirmed that there had been casualties in Sohar, saying that police and anti-riot forces had clashed with demonstrators.

"Police and anti-riot squads confronted this group of wreckers in a bid to protect people and their properties, which caused casualties," it said.

Witnesses said a police station and a government building were set on fire.

Basma al-Rajhi, an Omani political activist, told Al Jazeera that she had heard reports that police had tried to block the protests leading to "clashes" with a number of young protesters.

The protests in Oman come amid rising political tensions in the Middle East and North Africa, with uprisings and protests in Bahrain, Tunisia, Egypt, and Libya.

Al-Rajhi, who was taking part in a sit-in in Muscat, the capital, said: "Omanis are calling for [the government to] combat corruption and fight the rising cost of living, in addition to many other issues, [such as] raising salaries and [greater] media freedoms."

She said that protesters had not been satisfied with government decrees, announced earlier this week, aimed at tackling these issues.

Protests also took place in the southern town of Salalah where a small number of demonstrators have camped out since Friday near the office of a provincial governor.

Sultan Qaboos bin Said, trying to ease tensions, reshuffled his cabinet on Saturday, a week after a small protest in the capital Muscat. He has ruled for four decades. Political parties are banned.

Around 300 Omanis, including women, staged a peaceful rally in central Muscat on February 18 to demand an increase in salaries and political reforms.

But the demonstrators have emphasised their loyalty to their ruler.

Sultan Qaboos deposed his father in a 1970 palace coup to end the country's isolation and use its oil revenue for modernisation.

He appoints the cabinet and in 1992, he introduced an advisory elected Shura Council with 84 members.

Source: Aljazeera
 
News update:
Mfalme wao Qabus katangaza leo kwamba kila raia wa Oman asiyekuwa na kazi atalipwa USD 370 kwa mwezi hadi atakapopata kazi.
 
News update:
Mfalme wao Qabus katangaza leo kwamba kila raia wa Oman asiyekuwa na kazi atalipwa USD 370 kwa mwezi hadi atakapopata kazi.

Mkuu umenikumbusha kitu kimoja. Baada ya mapinduzi ya Zanzibar ya 1964 serikali ya Mzee Karume ilikuwa inawalipa wazee wasiojiweza Sh 50 (wakati huo nyingi sana) kila mwezi. Jee hii bado ipo au iliondolewa? Nauliza kutala kujua tu.
 
News update:
Mfalme wao Qabus katangaza leo kwamba kila raia wa Oman asiyekuwa na kazi atalipwa USD 370 kwa mwezi hadi atakapopata kazi.
Madaraka matamu, hiyo yote hofu ya kuondolewa madarakani, Alikuwa wapi siku zote kuwalipa mpaka aone maandamano....Mkwere sijui atafanya kipi akishaona tumeanza safari ya kumngoa.....
 
Kwa neno zima ni kwamba,
NCHI ZOTE ZA KIARABU TAWALA ZAKE ZITADONDOSHWA, sikuitegemea kabisa Oman katika dira ya mataifa ya arabuni kuwa katika demonstarations...ama kweli KUA UYAONE.
 
News update:
Mfalme wao Qabus katangaza leo kwamba kila raia wa Oman asiyekuwa na kazi atalipwa USD 370 kwa mwezi hadi atakapopata kazi.

:A S 13: Kumbe hela wanazo, I'm sure hata bongo tukilianzisha mambo yatanyooka.... haiingii akilini mbunge alipwe 12,000,000 TSh. kwa mwezi na mwalimu alipwe 100,000 TSh.
 
Hapo wanapoteza tu wakati....mana Oman wanampenda kiongozi wao..

Kweli kuna some problems Oman lakini mfalme huyo ana akili sio kina ghadafi...

Utaona Oman siku za mbele mambo yatakavyo kuwa shwariiiiiiiii
 
:A S 13: Kumbe hela wanazo, I'm sure hata bongo tukilianzisha mambo yatanyooka.... haiingii akilini mbunge alipwe 12,000,000 TSh. kwa mwezi na mwalimu alipwe 100,000 TSh.

Ni nchi peke yake ambyo haija yumba ki economy wakati wa worldwide economic depression.....Nchi ile pesa imelalaa lakini mfalme anawapeleka wana nchi ki akili, anataka wawe ma hodari wa kufanya kazi.....C unajua warabu wavivu wa kazi kama vile wafrika...

Kuwapa pia mshara mdogo kuna sababu zake mana wakipewa mshahara mkubwa hawatabanduka...Bangkok na Jakarta....:wink2:

Mshahara wa chini kabisa Oman kwa sasa ni R.O 200, yani ni saw ana 515 US $ kw abongo itakuwa karibu Laki saba au nane!
 
uongo mwingine bwana,mradi tu umeandika:rain:
 
uongo mwingine bwana,mradi tu umeandika:rain:
Yani hapo nashangaa kuniita muongo!! Hebu nieleze kwanini mimi muongo?

Wewe unajua kama Oman ni nchi peke yake ilio weza kumpa kiongozi wa dubai 6 Billion za bure kujiokoa katika matatizo yake!!

Wakati Abu dhabi imempe pesa nyingi lakini lazima dubai awalipe na wakati ni nchi katika nchi yao!!

Sasa mimi sio nayo sema hayo...Tazama! Toka 2008-2010

Oman Records $4 Billion Budget Surplus in 2008 on Oil Revenue

https://www.zawya.com/story.cfm?id=ZAWYA20090411041431

Oman reports huge fiscal surplus in H1 - Emirates24|7
 
:A S 13: Kumbe hela wanazo, I'm sure hata bongo tukilianzisha mambo yatanyooka.... haiingii akilini mbunge alipwe 12,000,000 TSh. kwa mwezi na mwalimu alipwe 100,000 TSh.

gap kubwa sana... Binafsi sifikirii kama kutakuja kuwa na usawa. Kila siku tz ni nafuu ya jana.
Utashangaa 2015 baada ya uchaguzi kama hatujasema afadhli kipindi cha mkwere.
 
Hapo wanapoteza tu wakati....mana Oman wanampenda kiongozi wao..

Kweli kuna some problems Oman lakini mfalme huyo ana akili sio kina ghadafi...

Utaona Oman siku za mbele mambo yatakavyo kuwa shwariiiiiiiii

Naam. Mpaka daikika hii Mabadiliko mengi tena pia mazuri yameshafanyika na watu wanafurahi.
Hii ndiyo inayotakiwa - kiongozi ambae daima huwa anasikiliza maoni ya watu na kufanyia kazi hayo mabadiliko mara moja kwa kuyatekeleza kwa makini. Hakuna mtu ambaye ni malaika hivyo iwapo kuna makosa, basi ni kuyasahihisha. Hii ndiyo hali ya kweli.

Kwa wale wachache waliopotoa sasa wanashauriwa na watu walio wengi kuwa "mabadiliko hufanyika kwa amani bila kuharibu mali ya umma au ya binafsi na huu ustaarabu ambayo Wamsri wameonyesha ni mfano mzuri wa kufuatwa".

Sultan Qaboos brought many good changes and good things to life!
 
Nilisema huko Oman wamenoa mana Jamaa wanampenda kiongozi wao...

Mkabera, thanks!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom