GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,006
- 126,388
Serikali imetangaza kulifutia usajili Kanisa la Ufufuo na Uzima, linalomilikiwa na Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, ikiwa ni siku moja tangu kiongozi huyo wa kiroho atangaze msimamo wake wa kuendelea kukemea vitendo vya utekaji na watu kupotea.
Chanzo: mwananchi_official
Gwajima kama una Pasipoti yako nakushauri anza kuiweka tayari tayari kwani najua kifuatacho ni ama zao au ama zako.
Chanzo: mwananchi_official
Gwajima kama una Pasipoti yako nakushauri anza kuiweka tayari tayari kwani najua kifuatacho ni ama zao au ama zako.