sasa kama kuna air defence ya russia syria, basi hapo mmarekani kaonyesha kumzidi mbali sana mrusi, na mrusi itabidi afyate mkia. la sivyo kama asipofyata mkia na marekani ikaona kuna opportunity ya kuisambaratisha mazima russia, iisambaratishe mara moja kusudi tubaki na superpower mmoja tu duniani kuliko huyo mtetezi wa iran na syria.