Kumekucha: Matingatinga ya UKAWA yaanza kupasha

Kumekucha: Matingatinga ya UKAWA yaanza kupasha

Wakuu jipangeni kwasasababu mategemeo yao ni goli la mkono.

hahahahahahahah nape alisema yale maneno alikuwa amejisahau akajua tunatumia mfumo wa kula wa kawaida kumbe nw tunatumia BVR one person one vote.

katika vitu ambayo ccm walivyobugi ni kuruhusu mfumo huu wa BVR hahahahahahahah thanx kwa aliewapeleka chaka hili.

Kwanza BVR features include
a full range of biometric parameters to identify the votes by fingertips, iris, voice etc

highly customizable software module's for both of input and output settings

comprehensive data logs and reports voters activities monitoring

highest level of security for data protection and preventing election fraud

kwa nchi zote za Africa waliotumia mfumo huu mabadiliko ya vyama kuingia madalakani yamefanyika mfano Kenya, Ghana, Nigeria, Malawi.
hapo cha kujiuliza ni ile BVR machine iliyoibiwa mwanza imepelekwa wapi?

nw ni muda wa rise&fall of ccm empire
 
Ukawa mwendo nchibuyu sahivi uwanja wetu hakuna kizuizi tena
 
Amani iwe kwenu

Ni heavy duty mashine

T RAIS UKW
T WABUNGE UKW
T MADIWANI UKW
T MKMITAA UKW
T MKVITONGOJI UKW

Mgawanyo wa Oparation:

from Namanga to Tunduma via Izazi ----oparations safisha
from Kiaka to Holili via Singida ----operation safisha
from Kitunguli to Chuyuni via Morogoro----- operation safisha
from Isopa/ Kasanga to Ololosokwani via Itigi ----operation safisha
from Isibania to Kalinzi via Usoke...... operation safisha
from Dar to Mwanza via Kintiku--- operation safisha
from Tanga to Nyalikungu via Dareda ....Operation safisha

Matingatinga hayo yatafanya kazi 24hours kuzimwa mpaka Oktoba baada ya kazi Kukamilika


....ni kijiji kwa kijiji ,Mtaa kwa Mtaa, Nyumba hadi nyumba, Kata kwa Kata, Wilaya kwa Wilaya, Mkoa kwa Mkoa

...stay tuned
Ni kweli hii au porojo?Siamini.Kwani viongozi wa ukawa (summit)wameshamaliza kikao chao?
 
Endapo watashinda kwa mafuriko. mkono hauwezi kuzuia.mfano ushindi wa 80% wataiiba weee watapunguza mpaka70% zaidi ya hapo nakataa.

.....wanachama wengi wa ccm wahamia UKAWA !!! karibuni nyumbani huko kunawenyewe
 
Sidhani kama ni sahihi kujadili mtu nchi yetu inaitaji independent institution with full authority ambazo zitamsaidia rais kufanya kazi hayo ya Lowasa tumuachie l
 
Back
Top Bottom