Kumekucha: Matingatinga ya UKAWA yaanza kupasha

Kumekucha: Matingatinga ya UKAWA yaanza kupasha

....

....wito kwa wananchi wakombozi watapita huko mwenye makande, ngubalu,maharage changia kwa moyo wako Mungu anakwenda kusema NENO oktoba

Hahahaha sungwi,masangu gabhademi..twende kazi viva UKAWA
 
Ukawa watukumbushe zile namba za M-PESA,Tigopesa na Airtel money tutume jerojero za kampeni na kulipa mawakala.
Kweli kabisa mkuu huu ni mpango Kazi tokomeza ccm ninaunga mkono hoja!!
 
ukiona maneno hata katika vitabu vya mungu ukiona vinafanyiwa ammendments ujue hayo ni maneno ya binadamu si ya mungu maneno ya mungu huwa yako varied Toka dunia imeumbwa lakini maneno ya binadamu yanafikia kipindi yakafanyiwa ammendment empre zote zilikufa kuanzia ottoman empire, Britain empire, roman empire sasa ni wakati wa rise&fall of ccm empire .
 
....

...Mungu tunakushukuru sana wanyonge tunatembea vifua mbele
 
ukiona maneno hata katika vitabu vya mungu ukiona vinafanyiwa ammendments ujue hayo ni maneno ya binadamu si ya mungu maneno ya mungu huwa yako varied Toka dunia imeumbwa lakini maneno ya binadamu yanafikia kipindi yakafanyiwa ammendment empre zote zilikufa kuanzia ottoman empire, Britain empire, roman empire sasa ni wakati wa rise&fall of ccm empire .

....ubarikiwe
 
Attachments

  • 1436593524547.jpg
    1436593524547.jpg
    21.1 KB · Views: 304
Back
Top Bottom