Wadau, Amani iwe nanyi nyote!
Wakati Leo tunasherehekea sikukuu ya Eid, huko Katika majimbo ya Umasaini hasa Simanjiro na Monduli, waliokua wanachama wa ccm katika wilaya Hizo wamekihama chama chao na kuhamia chama cha ukombozi CHADEMA.
Kwa taarifa Za uhakika kutoka Monduli ni kwamba Madiwani wote wa Monduli wamekihama ccm na kujiunga na Chadema mchana huu na kupokelewa na uongozi wa Kanda ya kaskazini.
Huko Simanjiro, zaidi ya Wamasai na Wachaga waliokua wanachama wa ccm wakiwepo wafanyabiashara wakubwa wa Madini ya Tanzanite wakiwemo akina Mako, Mardadi, Ndege, Mwanya, Simbaa, Sunda na Matias Manga, WOTE wamehamia CHADEMA!
Kwa mtazamo na mwelekeo huu, uchaguzi mwaka huu hasa katika majimbo Haya ni dhahiri ccm watapoteza nafasi Za udiwani na ubunge.
Yule mpiga debe wa simanjiro Olesendeka atang'olewa mwaka huu tena kwa aibu na sijui ataweka Wapi uso wake.
Hongera sana Chadema, hongereni makamanda maana mmefanya maamuzi Mema na kuchagua pahala Salama!
Alluta Continua!!!!