Kumekucha! Kampuni ya Dangote yaweka kila kitu hadharani hivi punde tu!

Tatizo mfumo....ccm ni jipu maana imejaa vilaza dizaini hii....porojo pelekea vilaza wenzio.
 
Nimeelewa kituh!.........kumbe adui wa mtz ni mtz mwenyeweeee!.......Okay!.....Kumbe kaa mbali na mtz!!!!!!
 
Makaa ya mawe hayaaa....gas ya bure hayaaa....hujuma ndani ya chama hayaaaa....hujuma za wapinzani hayaa.....tatizo la kiufundi hayaaaa.....
 
Huyo mama ameongea na chombo cha habari kipi hapa tz Kama sio kutunga maneno.
Ametumwa na wakuu ili ionekane sio issue tena.
Jana waziri Mwijage mbona alisema viwanda vingi vitafunguliwa, Leo hii mnatoa povu LA ushindi. Mtoa Uzi umetumwa na wamekupa maneno ya kuandika humu.
Njaa mbaya Sana eti 5,000/ zinakuzalilisha
 
Naona wahujumu wakubwa ni wazalishaji pinzani wa cement ambao pia ni wapiga dil was cement ya being ghali wasiojali hali za Watanzania wanyonge. Wamo katika mawziri wanasiasa. Na wasioipendelea Tanzania mema.
 
Hii taarifa nayo inachanganya kama zile za mawaziri wetu

Ukisoma mwanzo, Baruti anasema lipo tatizo la kiufundi. Tunategemea litamalizwa kiufundi

Hapo mwisho anasema, Dangote atakuja nchini kufanya mazungumzo na Rais, waziri wa viwanda /nishati

Hapa kuna tatizo, matatizo ya ufundi yanamalizwaje na Dangote Rais na mawaziri?
 
Walioelewa wanieleweshe hizi taarifa za" kataa kubali"sizielewi
Sasa ni hitilafu za kiufundi au siasa zinasumbua?
 
Mr. Machumu...


Machumu...
FB_IMG_1480594805866.jpg
 
Yap Mkuu hiyo ni exclusive kabisa na kama Watanzania tukiacha ' figisu figisu ' zetu huyu Jamaa ' Tajiri ' Dangote ataweza kutengeneza ' ajira ' nyingi sana hapa Tanzania ila katika hayo ' mazungumzo ' na huyo Mama nilichokigundua kumbe ni kwamba ' adui ' namba moja wa Mtanzania ni ' Mtanzania ' mwenyewe kwani nikuhakikishie tu Mkuu kuwa wanaomkwamisha na kutaka kukihujumu hicho Kiwanda cha Dangote 99.999% ni Watanzania wenzetu kisa tu 10% na roho mbaya.

Hawa wana CCM na Wapinzani wanao ihujumu Kampuni ya Dangote majina yao yawekwe hadharani ili umma wa Tanzania ujue nani ni adui yao katika ujenzi wa Nyumba bora!

Lakini pia Rais Magu anatakiwa kuwamlika kwa kurunzi kali hawa mawaziri wake 2:
  1. Prof. Muhongo(Nishati&Madini) na huyu
  2. Nshomile Mwijage(Viwanda&Biashara)!
Tangu sekeseke hili lianze hawajawahi kutoa taarifa sahihi kuhusu Dangote naona wanababaisha na kupiga sound as if hawajui majukumu yao!
Lazima wachunguzwe kama wapo kwenye Payroll za Makampuni mengine ya Cement. Very likely they can be part of this friction!
 
Huyo mama akaisaidie polisi maana anawafahamu hao watu "wanaotaka kukihujumu kiwanda" kwa kuiba mashine n.k , kinyume na hapo ni tarumbeta tu kama za Mwijage

Mkuu kwani na ww umo katika group la watu wanaotaka kiwanda hiki kifungwe au kife kabisa ili tuendelee kuziwa cement bei juu kama ilivyo sukari kwa sababu ya roho mbaya za wafitini wa Amani?
 
Back
Top Bottom