ccm km mlitaka kupima upepo nadhani majibu yake mmeyapata kwa kuungalia upepo wenyewe tu hapa jamii forum. mtakoma kuringa. Ishu sio mko wangapi kwenye bunge la katiba ishu ni kwamba wananchi tupo makini tunawachungulia huko bungeni tuone mkichakachua maoni yetu tu, mjue hii nchi itachafuka. Si maoni yetu yameandikwa kwa ufasaha na tume ya warioba? Ngoja tuone mtuletee mambo mengine ndio mtuambie hayo mmeyatoa wapi!