Kumekucha Dodomaaaa hatariii!

Wameandikiwa na GM sasa anakaimi nafasi ya ZOKA yupo dodoma kwa kazi hii.... IU inamulika kila kona soma ma.wi.o utajua kitu alh.
Mtahangaika sana kumchafua huo jamaa. Hachafuki hata tone. Akina Kubenea na umbea wenu kaeni chonjo
 
'A problem can not easily be solved by the same level of knowledge that created it' .
Hivyo wenye akili hatuwezi kuitegemea CCM ile ile kutatua changamoto ilizo tuletea ndani ya miaka 50.. Hii ni pamoja na kero ya mfumo wa Muungano wenye kumdhalilisha Mtanganyika!
 
Mtahangaika sana kumchafua huo jamaa. Hachafuki hata tone. Akina Kubenea na umbea wenu kaeni chonjo

Mtu mia ndani ya ID moja, but hoja yang ni nzito sana... kwakuwa upo kazini na unatetea kibarua chako ni lazima huipuuze, endelea hipo siku.
 
Tanzania kwanza ndio nini?wajumbe wote wana sapoti uwepo wa Tanzania kama ilivyoainishwa na tume.tatizo ni watu kutamani siasa wakati hawana talent ya siasa.hao ni "mburula kwanza" sio "Tanzania kwanza"

Mkuu hili liko wazi kabisa kwamba Tanzania kwanza wako juu, ni watu 'special' wenye kujua (kuamua) nini Tanzania 'mwisho' anataka.

Kwa kifupi wananchi si chochote wala lolote na maoni yao yatatupwa baharini ili Tanzania kwanza asikwazike kwenye starehe zake.
 
Propaganda za Lumumba hazitofua dafu hata mfanye vipi hela tunakula na Tanganyika inakuja
 
Niliandika mada juu ya UKAWA kuwa ni kundi haramu (pia nasema Tz Kwanza nalo ni hivyo hivyo)!
Hata hivyo wana-UKAWA mmechokoza wenyewe, msianze kulalamika!
 
kumbe mna akili sana, watoto wa chadema wanataka serikari tatu ili wapate madaraka kuitaka serikari tatu ni uchu wa madaraka tunawapa pongezi sana
 
Njaa mbaya Kweli.

Mambo ya namna hii LISU aliyaona cku mingi na ndomana hadi leo hataki kukubali JK kupewa mamlaka ya kuteau Wajumbe,,! Unategemea nini mtu alikaa kiTAA hana issue ya maana inayompa PESA then Rais anamwita kumpa Ulaji unategemea akate TAWI alilokaa?
 
Mbona hamjiandiki majina tuwajue ni kina nani?

Eti majina yetu tutayatoa hivi karibuni!!Weka majina ya waliodhuria na kutoa tamko hilo!

Vinginevyo itaonekana dhahiri shahiri kuwa mtu mmoja kakaa zake Dar kajiandikia tamko huko hilo!Eti Tanzania kwanza,Tanzania ipi?Tanzania iliyotokea wapi?

Tanzania ninayoijua ni ile iliyotokana na Muungano wa Tanganyika na Visiwa vya Zanzibar!Tanzania inayoitambua Zanzibar kama mshirika wa Muungano na isiitambue Tanganyika ni Tanzania ya Kinafiki na wote wanaoshabikia unafiki huo ni Wanafiki na Wapuuzi!
 
Kama kweli hili kundi lipo hebu wekeni majina yenu...
 
Mbona hamjiandiki majina tuwajue ni kina nani?

Nafikiri kina Said Nkumba na Emanuel Nchimbi ndio viongozi wa hili kundi. Nilikuta wanamalizia maelezo yao kwenye taarifa ya habari ya saa mbili usiku jana kwenye TV.
 
Mchakato umeshavamiwa, au ulivamiwa tangu mwanzo hatukujua. Tutarudishiwa katiba hiihii ya 1977 ikiwa na editing hapa na pale. Tumeibiwa pesa zetu maana kama hali ni hii hakukuwa hata na haja ya kuwepo mchakato huu. Kama maoni yamekusanywa na hamtaki yatumike, kwanini mmetusumbua?
 
Angekuwa na Uchungu na Tanzania asinge ruhusu abadan zenj ijitenge na kuunda katiba ya Zenj!
 

isije ikawa kama yule mzee aliyejifungia chumbani na kuandika anachojua na kisha kuwasilisha katika tume akidai ni maoni ya taasisi yao
 
We nani? Nahisi atakuwa kama c msaidizi wa dereva(makonda) atakuwa nkamia maana kigunge na lusinde hawajui kuandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…