Pesa zinazotumika kupotosha ukweli wakat wananchi wanajua, zingepelekwa mahosptalini ningeshukuru kweli
Juzi nimeenda AMANA HOSPT nilitamani kulia yani wamama wamelala chini kabisa na mimba zao, wengine na watoto niliumia sanaaaa nikajiuliza hapa ni mjini tena city center kabisa je huko nachingwea vijiji vip
Inauma sana, mzee maliza vizuri uende msonga ataingia chizi zaidi yako utapata tabu sanaaaa.