daud magigo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 979
- 424
sasa helikopta ndio inaleta maendeleo??
sasa helikopta ndio inaleta maendeleo??
Kesho Ijumaa CHADEMA wilaya ya Ilemela itarusha helkopa maeneo yote ya wilaya ya Ilemela.Makamanda Wanzagi,Damas na viongozi mbali mbali watanadi sera muhimu za CHADEMA.Pia watakagua maendeleo na kazi za maendeleo zilivyotekelezwa na Wananchi wakishirikiana na Wenyeviti wa serikali za mitaa.Igombe,Nyamilolelwa,Ilemela,Nyamhongolo,Buswelu,Nyamanoro,Pasiansi,Kilimahewa,Kirumba,Kitangiri,Igoma kaeni mkao wa kuwapokea Makamanda.PEOPLES POOOOOOOOOOWER
sasa helikopta ndio inaleta maendeleo??
Saccos ya wachaga hiyo..wewe ni sawa na kenge kwny msafara wa mambaKesho Ijumaa CHADEMA wilaya ya Ilemela itarusha helkopa maeneo yote ya wilaya ya Ilemela.Makamanda Wanzagi,Damas na viongozi mbali mbali watanadi sera muhimu za CHADEMA.Pia watakagua maendeleo na kazi za maendeleo zilivyotekelezwa na Wananchi wakishirikiana na Wenyeviti wa serikali za mitaa.Igombe,Nyamilolelwa,Ilemela,Nyamhongolo,Buswelu,Nyamanoro,Pasiansi,Kilimahewa,Kirumba,Kitangiri,Igoma kaeni mkao wa kuwapokea Makamanda.PEOPLES POOOOOOOOOOWER
mwambieni kiwia akija kiseke aje kavaa helmet, kuna kokoto za kutosha
mungu awape nguvu ya kuendelea kutetea maslahi ya watanzania
sasa helikopta ndio inaleta maendeleo??
Bajaj ndio italeta maendeleo😕
Cjui unamaanisha nn huoni viongozi waliotajwa ila chopå ????