kumegewa ni siri ya ndani???


Nafikiri ameshindwa kutofautisha kati ya mtu kumegewa na kutoa siri na mtu kumegewa na kuchukua hatua! Kutoa siri saa nyingine si jambo sahihi, maana kwa namna yeyote ile, kitendo cha kumegewa ni fedheha ndani ya ndoa maana huwa connected na mahusiano yenu ya siri ya ndani! Unatoa siri, na wewe unajitangaza dunia nzima kwamba umemegewa bila kujijua, ile si sifa, ni upuuzi!

Kwa upande wangu mimi, njia sahihi ni kuchukua hatua kama umemegewa na siyo kutoa siri. Ukichukua hatua yeye mwenyewe atakwenda kueleza mbele ya safari nini kilimkuta mpaka ukaamua kumchukulia hatua kama ana nguvu ya kufanya hivyo.
 

mkuu nimependa sana mawazo yako, umenivunja mbavu. Waaaiii
 
 
napata supu ya pweza niangalie inakuwaje
 
mkuu,
kuna watu wameajiriwa na wake za wake vitandani,sasa mtaji hapo si kiuno tu cha mtu....
 
na sio kumegewa tu,hata kuhisi unamegewa huwezi kutangaza, na ndio maana wanaume wengi tuna ishi bila amani Mioyoni mwetu,,Ni nani alisha wahi kuhisi Mkewe ana megwa na akatangaza???
 

sasa akimegwa utafanyaje??utatangaza...?
 

Zote 1,2,3 ni majibu sahihi!!!
 
Kwa hiyo wewe ukigongewa mkeo utapita mtaani ukitangaza?
Kumegewa mkeo ni aibu kwako na ndo maana akasema ni siri ya ndani meaning sio kitu cha kuhadithia watu!

We muache akitangaza tu hiyo ndio tiketi atagongewaaeee mpaka basi... si wana kitaa watamuone wife wa mshikaj mbeyabeans wota mara moko.
 

Nakubaliana na wewe mkuu.
Kweli ukijikuta kwenye hali hiyo ukaamua kutulia na kufanya maamuzi ya kiutu uzima msaliti wako wako atajipeleka mwenyewe kujishtaki.
Japo inahitaji moyo.
 
me hao wazee wazamani naona mambo ya kugongewa hayakuwepo ndio maana wanaongea hivyo.ingekuwa dunia ya sasa wasingethubutu

Yalikuwepo sana ndio ulipo zaliwa msemo kitanda hakizai haramu.na wao walikuwa busy na kazi.kizazi hichi tuko busy kupekua simu na email address za wake/waume na kufuatilia kila hatua ya mtu.haya ndio yanasababisha house girl/boy kutumika coz nje ufuatiliaji ni mkubwa sana.
 
Kudhibiti kumegewa kuna jamaa yupo gambushi anakupa dawa jamaa akiangalia papuchi anaona nyoka.

Na pia kuna chupitrack ikivuliwa tu alarm inagonga kwenye simu yako.

Teh teh usingizi umegoma.
 
Kudhibiti kumegewa kuna jamaa yupo gambushi anakupa dawa jamaa akiangalia papuchi anaona nyoka.

Na pia kuna chupitrack ikivuliwa tu alarm inagonga kwenye simu yako.

Teh teh usingizi umegoma.

hahahah mkuu hapo umeua!kitu cobra kabisa?
hiyo chupi track si itakuwa inalia hata mtu akienda toilet sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…