Kaitampunu JF-Expert Member Nov 24, 2011 1,995 775 Nov 29, 2012 #41 Nyunyu said: Nashangaa hata hiyo suti sijui alishonewa na mafundi wa mwenge huko bongo!!! Click to expand... Ni moja ya alizopewa na mwarabu. Source: ni mimi mwenyewe.
Nyunyu said: Nashangaa hata hiyo suti sijui alishonewa na mafundi wa mwenge huko bongo!!! Click to expand... Ni moja ya alizopewa na mwarabu. Source: ni mimi mwenyewe.
UKI JF-Expert Member Jun 12, 2012 691 172 Nov 29, 2012 #42 basi Jk akipitia hizi comments basi anafurahi na kucheka weee mpka kunyanyua miguu juu maana ndio vitu anavyopenda vya kumsifia maana huyu jamaa no presedent modo.
basi Jk akipitia hizi comments basi anafurahi na kucheka weee mpka kunyanyua miguu juu maana ndio vitu anavyopenda vya kumsifia maana huyu jamaa no presedent modo.
Lokissa JF-Expert Member Nov 20, 2010 7,446 2,490 Nov 30, 2012 Thread starter #43 Hii nayo nampa big up JK hana utani, cheki makonfidensi yake,suti mngaro