thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,256
- 9,085
Utaelewa muda ukifika,nani alikwambia kura yako inaamua matokeo2 ya urais?,ubunge na udiwani sawa(System haiwezi kukabidhi nchi) sasa kama ni hivyo kura ni za nini? Si muwaambie hao system wamkabidhi wanaemtaka?
Ndio umeandika nini?Umesema tayari “wazungu hawakumsikiliza”. Sasa hao mabeberu unaosema ataikabidhi nchi kwao ni akina nani??
Ulishaandika mada, jaribu kuisoma tena uone kama kuna mantiki yoyote!!
Are we talking about handball or football here!?, Come on broh you know that TL can't defeat JPM! So don't go out of my comment huh!Only when handball is played instead of football.
Utaelewa muda ukifika,nani alikwambia kura yako inaamua matokeo2 ya urais?,ubunge na udiwani sawa
Kwa.taarifa yako watumishi wa umma wote walikwisha ongezwa mpunga kimyakimya kitambo sana ,kalagha bhaho wewe kapuku,ndio maana huwa wapo kimya na hakuna migomo ,kadhalika wanafunzi wa vyuo vikuu kuhusiana na mikopo
Mungu hajaisahau Tz, Kama alivyotuvusha na Magu wetu kipindi Cha corona, ataendelea kutuvusha na Magu wetu kipindi Cha uchaguzi!
we ndo walewale akina jinga lao.Lisu2020 presidentLissu hafai kuwa Rais wa nchi hii, Ubunge ndio ilikuwa level yake ya juu na ya mwisho.
Kumbukeni alikuwa kwenye matibabu huko ughaibuni mara alipopata nafuu, kazi yake ilikuwa kuzungumza mambo ya hovyo sana, kutaka nchi iwekewe vikwazo, kukubali kuruhusu ndoa za jinsia moja, pindi akiwa mtawala , na ifahamike ni kinyume na mila na desturi zetu nchini ,alifanya mambo ya fedheha sana.
Wazungu walimsikiliza wakaona huyu ni bogus kabisa, ndio maana pamoja na kelele zake na maombi yake hayakuwa na impact yoyote.
Mtaji aliobakia nao kwa sasa ni kupata kura za huruma kwa risasi zilizompata
Pia system haiwezi kukabidhi nchi kwa mtu anayetetea mapenzi ya jinsia moja na msaliti kwa taifa lake,si mnakumbuka vitisho vyake na MIGA?,yako wapi?,tumeunda kampuni ya Twiga minerals Tanzania kwa ubia ambao unalinufaisha taifa, kongole Rais Magufuli.
Namuonea huruma sana, kwa maana baada ya uchaguzi atapotea kwenye ulingo wa siasa, kiki hazitakuwepo , Bunge ndio lilikuwa linampa kiki, miaka mitano sio mchezo kukaa benchi
Umelalamika tu.
Kama Nyerere aliongoza nchi mwl kijana 39 yrs. Na alionyesha mafanikio, Mwinyi na diploma ya ualimu lakini alitupa ruksa, Mkapa toka uandishi mpaka Rais alieacha impact . Kikwete na democracy ya Kiswahili lakini alimaliza salama. Na sasa tunae Mwl mwingine tena wa sayansi lakini hajashindwa.
Ndiyo aje ashindwe advocate msomi anayetaka nchi iongozwe kwa sheria na katiba ?!
Lissu yuko vizuri kuliko team ilioko uwanjani saa hii. Hata wewe unajua. Labda figisu tu. Na ndiyo keshasema hatamuachia Mungu . Mnalo