Kumcha Mungu

Kumcha Mungu

mpabony

Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
14
Reaction score
17
Salaam sana,

Naamini katika jamii kubwa hivi lazima kuna mchanganyiko mkubwa pia.
Katika hao wamo wacha Mungu wengi.

Niombe pia towekeze nguvu katika kuhimizana kumcha Mungu na kutazama kwa jicho la ziada katika yale ambayo JEHOVAH AMETUTENDEA.

Nina uwezo wa ki uchambuzi pia lakini mimi ninaamini kwa mfano ni MKONO WA MUNGU TU KWAMBA KENYA HAWAJAPIGANA na hii inathibitishwa kwamba wapo watu wanaomlilia Mungu usiku na mchana. Ezekiel 9:1---

Nawasilisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom