DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Baada ya mbunge wa Siha aliyemaliza muda wake na mtia nia kupitia chama cha mapinduzi CCM kudai kuwa mke wake amatekwa na gari lake kuchomwa moto mdau ameandika.......
"Leo nimeamka Kwa furaha kubwa Sana. Ndiyo FURAHA haswa. Mke wa Godwin Mollel Dr Mollel ambaye ni Naibu Waziri wa afya, AMETEKWA, AMEPIGWA na gari lake kuchomwa.
Kwamba nafurahia mtu kutekwa Mimi? Hapana sijawahi kufurahia hata kidogo kuona Mtanzania mwenzangu yeyote ANATEKWA, ila nafurahia kumuona Godwin Mollel naye ameanza kuimba utekaji, anapaza sauti kuthibitisha kwamba utekaji upo Nchini Tanzania. We fikiria Naibu Waziri mke wake anatekwa na gari lake kuchomwa, kwa sababu tu uchaguzi tena ndani ya chama chake.
Kama utekaji utafanyika kwenye uchaguzi wa Kura Tu za maoni ndani ya chama chao, Je uchaguzi Mkuu si Watanzania si watapotea na kutekwa zaidi?. Kiufupi Dkt Mollel, naye anasema no Reform, no election.
Zaidi, Soma: Jimbo la Siha kimenuka mke wa Mollel apigwa na gari lachomwa
CHADEMA na Watanzania hawataki kushiriki uchaguzi ambao watu watauana, watatekana na kuumizana kama mnavyofanya ninyi CCM. Wanataka uchaguzi utakao kuwa huru, wazi na haki.
Good morning Dkt Mollel. How are things going on your side? Have a fantastic day ahead"