ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,803
- 60,649
Kwanini tujichoshe kuishi kwa akili na nyieSisi buana huwa tunaroho nzuri sana tukiamua na pia tukiamua tunaweza kuwa na roho ambayo shetani nae hufika kipindi anashangaa ..mmmh hivi hii roho mbaya ni yangu jamani ama kuna shetani mwingine kampa huyu mwanadamu roho hii?? Wanawake mara nyingi huamua kulipiza kisasi kwa waliowaumiza sana maishani ... Ishi na Sisi kwa Akili
HujalazimishwaKwanini tujichoshe kuishi kwa akili na nyie
Mtoa mada tunaomba jibu hapa plzz.....Xo unamuoa au unamwacha
subiri nikatafute mkateTarehe kama ya leo 2012 naikumbuka Baada ya binti roda mtoto toka mbeya kuamua kuniweka wazi jambo hili wazi..
Ilikuwa ni km bahati kwangu Baada ya kumtongoza kwa muda mrefu na kufanikiwa kumnyaka japo kwa kulazimisha sana na hata ilipofika time ya kumuomba mzigo bado aliendelea kunikatalia. Kiukweli nilimlazimisha sana tukifanya nae romance kwa wingi lakini kila nikitaka kuingiza alikataa katakata, nilisumbuka naye sana zaidi ya mara 7 namvua nguo lakini wapi, namchezea analegea macho lakini nikijitahdi hata kutaka kumbaka aliendelea kunikataa nifanye yangu kwenye uchi wake , sikuwah kuwaza matumizi ya condom kipind hicho na hii ni mpaka leo
Sikuwah kumtukana wala ku dharau maamuzi yake. Alinipenda kwa kweli nadhani mabinti wote wapo hivo wana huruma sana akikupenda hataki kukuona ukiteseka
Nimekumbuka siku aliyoniita na kunieleza ukweli kuwa yeye ni muathirika alimbukizwa na babu mmoja hukohuko kwao mbeya na hakuhitaji kufanya maksud kunirushia ugonjwa
Niliishia kumshukuru
Nafurahi kumwona mpaka sasa akiwa mwenye afya na anaendelea na maisha yake na biashara zake za kuuza nguo. Nampenda sana ni mwanamke mzuri kwangu
Funga nae ndoaTarehe kama ya leo 2012 naikumbuka Baada ya binti roda mtoto toka mbeya kuamua kuniweka wazi jambo hili wazi..
Ilikuwa ni km bahati kwangu Baada ya kumtongoza kwa muda mrefu na kufanikiwa kumnyaka japo kwa kulazimisha sana na hata ilipofika time ya kumuomba mzigo bado aliendelea kunikatalia. Kiukweli nilimlazimisha sana tukifanya nae romance kwa wingi lakini kila nikitaka kuingiza alikataa katakata, nilisumbuka naye sana zaidi ya mara 7 namvua nguo lakini wapi, namchezea analegea macho lakini nikijitahdi hata kutaka kumbaka aliendelea kunikataa nifanye yangu kwenye uchi wake , sikuwah kuwaza matumizi ya condom kipind hicho na hii ni mpaka leo
Sikuwah kumtukana wala ku dharau maamuzi yake. Alinipenda kwa kweli nadhani mabinti wote wapo hivo wana huruma sana akikupenda hataki kukuona ukiteseka
Nimekumbuka siku aliyoniita na kunieleza ukweli kuwa yeye ni muathirika alimbukizwa na babu mmoja hukohuko kwao mbeya na hakuhitaji kufanya maksud kunirushia ugonjwa
Niliishia kumshukuru
Nafurahi kumwona mpaka sasa akiwa mwenye afya na anaendelea na maisha yake na biashara zake za kuuza nguo. Nampenda sana ni mwanamke mzuri kwangu
Hapana anamweshim mpenzi wangu wa sasaFunga nae ndoa
Kwa sasa anamjua mpaka huyo wifi yake Naaminisha mpenzi wangu wa sasaMtoa mada tunaomba jibu hapa plzz.....
Xo unamuoa au unamwacha
kwa kuwa ushauziwa chai?subiri nikatafute mkate