Kumbukumbu ya Brigedia Gen. Moses Nnauye!

Ni mambo mengi sana mazuri amefanya Mzee Moses Nnauye ila kosa kubwa na ambalo hatutamsamehe ni kwa kumzaa Vuvuzela Nape maana ni BOGUS BOGUS BOGUS!


Mbona Nape hajawekwa kwenye list ya watoto wa marehemu ktk matangazo yaliyopo kwenye vyombo vya habari?
 
Picha hapo juu nimeitoa michuzi blog, mbona jina la Nape silioni katika members wa familia ya Nnauye? Naomba maelezo kwa wadau wenye taarifa sahihi

Pengine yeye hajamkumbuka na kumuombea!
 

Samahani kidogo labda sijakuelewa maana umenishtuwa, yaani unamaanisha kwamba hayo mashairi aliyoyatunga ndio akumbukwe kuliko Nyerere? au kuna lipi Moses Nnauye alilifanya ambalo wewe unaona anastahili kukumbukwa kuliko Nyerere! maana kama ni Mashairi tu basi hata Mrisho Mpoto utasema akumbukwe zaidi ya Nyerere.
 
Picha hapo juu nimeitoa michuzi blog, mbona jina la Nape silioni katika members wa familia ya Nnauye? Naomba maelezo kwa wadau wenye taarifa sahihi

Nape ni mtoto wa nje ya ndoa ya mzee Nnauye,hakupata malezi ya ndoa ndiyo maana amekuwa akiropoka sana,vuvuzela la kutupwa.a.k.a jinga
 
The romantic ni mtu wa karibu na familia atawajibu. poleni lakini ilimpasa aonje mauti tena kaishi sana tu 2001-1937=64. si haba hiyo
 
Jamani mzee mnauye alikuwa mzalendo, ila kuhusu suala la kijana wake nape mimi sijui nini kilitokea....sijui... Ila anyway...wanasema sio watoto wote wa mamba ni mamba, wengine ni kenge,naamini huyu nape ndie kenge pekee ndani ya familia ile
 
Moses Nnuye:

- Alisomea wapi "u-jeshi"? au ni "u-brigedia" wa kisiasa?

- Alifanya mambo gani katika nchi hii ambayo yatatufanya tusimsahau na kum-delete?

Kwa binafsi yeye na Paul Sozigwa ni sawa sawa tu - Vuvuzela wa wakati huo!
 
Nape ni mtoto wa nje ya ndoa ya mzee Nnauye,hakupata malezi ya ndoa ndiyo maana amekuwa akiropoka sana,vuvuzela la kutupwa.a.k.a jinga
Wanaume wajifunze waache kuzaa nje ya ndoa,at the end mtoto ndo anaeumia,nina uhakika Nape kajisikia vibaya jina lake kutokuonekana kwenye tanganzo lililoonekana dunia nzima
 
picha hapo juu nimeitoa michuzi blog, mbona jina la nape silioni katika members wa familia ya nnauye? Naomba maelezo kwa wadau wenye taarifa sahihi
mzee nnauye alikua na nyumba mbili,tangazo limetolewa na nyumba kubwa!
 
Inawezekana aliyeandaa tangazo ni Nape lakini akajisahau. Mbona mleta mada yeye kaanza na nape kuashiria ndo 1st born wa mzee Nnauye?

angalia hizi picha, unagundua nini?

 
mzee nnauye alikua na nyumba mbili,tangazo limetolewa na nyumba kubwa!
nyumba kubwa bado ina hasira?hata kama yeye ndo katoa tangazo alitakiwa awaorodheshe watoto wote wa marehemu,waislam si rukhusa wake wanne?
 
mzee nnauye alikua na nyumba mbili,tangazo limetolewa na nyumba kubwa!

Hukupaswa kujibu hoja hiyo. BTW, ina maana hizo nyumba zimeshindwa kutoa/kufanya kumbukumbu ya pamoja kwa jambo kama hili, hivi kuna maasiliano kweli hapo?
 
nyumba kubwa bado ina hasira?hata kama yeye ndo katoa tangazo alitakiwa awaorodheshe watoto wote wa marehemu,waislam si rukhusa wake wanne?

Kuna jambo kubwa limejificha hapa.
 

Mzee Makamba na Mzee Nnauye walikuwa na ujamaa unaokaribia undugu hata huyu Nape kuna kipindi aliishi sana nyumbani kwa mzee Makamba pamoja na kina January na Mwamvita, hivyo hawa watoto ni ndugu na wanajuana vizuri japo kwa sasa wanatofautiana kimisimamo juu ya ufisadi na mafisadi.

Mmoja January akionekana kuwaunga mkono mafisadi wakati Nape amekuwa mwiba mkali kwa mafisadi licha ya upinzani wa chini chini dhidi yake toka kwa mwenyekiti wake kama ambavyo imewahi kutokea kwa Julius Malema na JZ JACOB ZUMA Kule kwa kaburu, ambapo mwisho wa yote Zuma baada ya kumtumia Malema amemtupa kama condom iliyotumika! Je, Nape nae atapata "ajali ya kisiasa" kama hiyo toka kwa bingwa wa kutengeneza ajali za dizaini hiyo JK? Ni suala la kusubiri na kuona....
 
Hakuna hata ile a.k.a ya Nape ya "The Romantic"?

Watakuwa wamesahau tu!

mzee mbona unachanganya taarifa sana siku hizi za karibuni kulikoni?una mning'inio nini kamanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…