Ki Mun
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 3,443
- 4,386
Hapa wanaonekana Mh.Zitto Kabwe, Luhaga Mpina na Marehemu Deo Filikunjombe(R.I.P) walipokesha usiku ule wa tar.29/11/2014 Dodoma kuzuia jitihada zilizokuwa zikifanywa na William Lukuvi kutaka kuiba ripoti ya Escrow maana ilijulikana kwa hakika kuwa ilikuwa inaenda kuangusha serikali. Wakati huo Lukuvi akiwa Waziri wa Kikwete anayehusika na Sera,Uratibu na shughuli za Bunge.
Kuna tofauti kubwa sana kwa viongozi vijana aina ya Zitto,Luhaga Mpina na Marehemu Deo na wale wasaka tonge wa dhahiri aina ya January Makamba,Nape Nnauye,Makonda n.k.
Kuna tofauti kubwa sana kwa viongozi vijana aina ya Zitto,Luhaga Mpina na Marehemu Deo na wale wasaka tonge wa dhahiri aina ya January Makamba,Nape Nnauye,Makonda n.k.