Sura ya utoto hii, halafu alivyoendelea kukua sura ikabadilika na kidevu kurefuka.Ikumbukwe
kwamba urefu wa kidevu cha Magufuli ndio alama kuu itumiwayo na wachora katuni eg. Masoud
Kipanya na wengine.Cheki hapa chini jinsi kidevu cha Magufuli kinavyotafsiriwa na wachora katuni: