Kumbukizi: Unakumbuka wapi ukiona hii?

Kuna jamaa yetu yaan barua au mesej za vikaratas vikichanwa tunaokota vile vipande tunampelekea yeye alikuwa mtaalamu wa kupanga na kuunganisha ndio tunapata walioandikiana tunapata ujumbe na sisi
 
Mi ndo nilikua mtaalamu wa kuziandika barua hizi,.. Nilikua nawaandikia washkaji, na zikienda hazirudi tupu...
 
Habarini za Hapa

Kwa upande wangu nakumbuka Mbali Sana Enzi hizo kuna Jidada kaniandikia barua wakati ananipa alisema usimwambie Mama ako lakini! Nikapokea kabla sijafungua ilikuwa imeandikwa kiss before open Niliyo yakuta humo ni Makopa Kopa na Dedication kama Vailet by Matonya, Milele by Ray C,Cinderella by Ali kiba na vimichoro kibaoo

Enzi hizo mambo ya Simu Yalikuwa Bado sana, Unakuta Barua inaanza na Apple la barua hii,Lengo la barua hii,Dhumuni la Barua hii na mengine mengi

Wewe Unakumbuka Wapii Ukiona Hii barua

View attachment 1265846
Aisee
 
Aise nimekumbuka mbali enzi za ubagwe pr schl, nilikuwa na maneno matamu kwenye barua ila mwandiko wangu ulikuwa hovyo kwahyo kuna watu wawili nilikuwa nawatumia katika uandishi, pia wengine niliwasaidia kuwapa madini ya kuandika katika barua zao

Salama
Mimi ni mzima wa afya hofu na mashaka ni juu yako ww uliye mbali na upeo wa macho yangu..
Dhumuni
Nakupenda sana D..... usiku silali, kila nikinywa maji nakuona kwenye glasi,

Nitakupa kila utakachotaka..
Acha niishie hapa maana simu zimeharibu mambo.
 
Hizi barua sikuwa na bahati nazo licha kuziandika nyingi zilirudi na majibu mabaya hasa ya kukatisha tamaa sikufanikiwa kunasa demu kwa barua,nakumbuka nilimwandikia demu barua Siku napita kwao akaniita kwa ukali akanifokea na kunisugusia mbwa
 
Habarini za Hapa

Kwa upande wangu nakumbuka Mbali Sana Enzi hizo kuna Jidada kaniandikia barua wakati ananipa alisema usimwambie Mama ako lakini! Nikapokea kabla sijafungua ilikuwa imeandikwa kiss before open Niliyo yakuta humo ni Makopa Kopa na Dedication kama Vailet by Matonya, Milele by Ray C,Cinderella by Ali kiba na vimichoro kibaoo

Enzi hizo mambo ya Simu Yalikuwa Bado sana, Unakuta Barua inaanza na Apple la barua hii,Lengo la barua hii,Dhumuni la Barua hii na mengine mengi

Wewe Unakumbuka Wapii Ukiona Hii barua

View attachment 1265846
Na tulioachwa kwa barua kama hizo tucoment wapi ? Mm niliitafuna na kuimeza kabisa ww uliifanya nn ?
 
Dah mapenzi ya zamani jaman tulikuwa tunatongozwa vizuri adi raha....nakumbuka tuko shule ule muda wa Prep's ukikaribia kuisha usiku unaandaa unampa shem anapeleka fasta class kwao naye anarudi na ya kwako kutoka kwake yaan wee M.....nakukumbuka na mwandiko wako mahondaw manengelo Khantwe sjui mnakumbuka izi barua
Mbona km umenikumbusha mimi kbs huyo M da!
 
Habarini za Hapa

Kwa upande wangu nakumbuka Mbali Sana Enzi hizo kuna Jidada kaniandikia barua wakati ananipa alisema usimwambie Mama ako lakini! Nikapokea kabla sijafungua ilikuwa imeandikwa kiss before open Niliyo yakuta humo ni Makopa Kopa na Dedication kama Vailet by Matonya, Milele by Ray C,Cinderella by Ali kiba na vimichoro kibaoo

Enzi hizo mambo ya Simu Yalikuwa Bado sana, Unakuta Barua inaanza na Apple la barua hii,Lengo la barua hii,Dhumuni la Barua hii na mengine mengi

Wewe Unakumbuka Wapii Ukiona Hii barua

View attachment 1265846
Asee haya mambo sitosahau coz mzee wake na dem mmoja hv alikamata barua yangu nmemwadikia mtt wake akaje nae maskan kilichotokea sitasahau afu aliyenichoma ni mdgo wake na dem
 
Tatizo la hizi barua huwezi kumaliza kuandika ukaikunja, lazima uihariri zaidi ya mara tatu. Kipindi hicho wazazi walikuwa nongwa sana wanalinda hadi mtoto wa kiume sijui kwa ajili ya Karo! Nilichezeaga kichapo cha haja, nikamtumia barua demu kumjulisha naye akakutwa na kaka mtu kunyang'wanywa barua ikachanika akabaki na kipande alikujanacho analia naye alichezea kichapo. Shuleni kulikuwa na utaratibu wa kupiga kura siku ikafika Maj in a yetu yamo(adhabu na viboko juu). Ingawa tulikuwa hatuhongi pesa nyingi lakini mapenzi yalikuwa na gharama hata sitaki kukumbuka kipindi hicho mara mufukuzwe shule. Kipande hiki niliamua kukitunza ila demu alikuwa kisu ngoja nijifariji kwa hilo tu.
IMG_20191120_150430_9.jpeg
 
Habarini za Hapa

Kwa upande wangu nakumbuka Mbali Sana Enzi hizo kuna Jidada kaniandikia barua wakati ananipa alisema usimwambie Mama ako lakini! Nikapokea kabla sijafungua ilikuwa imeandikwa kiss before open Niliyo yakuta humo ni Makopa Kopa na Dedication kama Vailet by Matonya, Milele by Ray C,Cinderella by Ali kiba na vimichoro kibaoo

Enzi hizo mambo ya Simu Yalikuwa Bado sana, Unakuta Barua inaanza na Apple la barua hii,Lengo la barua hii,Dhumuni la Barua hii na mengine mengi

Wewe Unakumbuka Wapii Ukiona Hii barua

View attachment 1265846
Aisee nimemkumbuka demu wangu Mwainne alivyokuwa ananivunja goti shule ya msingi!! Pesa yenyewe niliyokuwa namhonga ni ile niliyokuwa naipata baada ya kuuza mapera shuleni
 
Mabinti wa siku hizi bure kabisa yaani laini kama nyanyantole. Ukiomba namba ukapewa umeshakula papuchi.

Kipindi hiko barua kibao na naksi za maua ya kopa na mshale na manzi bado anazingua hata 2 years.

Uvumilivu wako ndio mafanikio yako. Halafu hatukuwaga na tamaa kama za miaka hii. Unakomaa na demu mmoja hadi umpate.
 
Na tulioachwa kwa barua kama hizo tucoment wapi ? Mm niliitafuna na kuimeza kabisa ww uliifanya nn ?
Niliichambia kama Toilet Paper za wazungu. Kisha nikaikunja vizuri nikaiweka bahashani nkamrejeshea.

Sikupenda kufanya hilo, Lakini jibu lake sikulipenda zaidi. Sikuwa na budi
 
Hizi barua nimeziandika saana aisee !

Nilikuwa naziandika kwa wapenzi wangu hadi wanachanganyikiwa, maana nilikuwa mzuri wa mistari. Alafu kuna mdogo wangu alikuwa ni bingwa wa kuchora maua kwenye karatasi.
 
Tuliolushiana tu matunda kabla ya ujio wa hizo barua tunakoment wapi??

Enzi hizo ukirusha katunda akikaokota basi ujue mambo yametiki

Kwenye kuongea mnaongea mmpeana migongo huki akiwa na ndoo ya maji kichwani.

Aseeeee, enzi za kung'oa majani jeeee?
Mpaka umeipata hii nafasi umehaso kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom