Mwizukulu wa Buganda
JF-Expert Member
- Nov 19, 2024
- 638
- 1,771
Aliyazungumza hayo Agosti 20 katika Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Waambie hao vibaka wenzako watakufa sana Kama Kuku maana wanafanya uhalifu kama Nyumbu wasio na akili, kuna mmoja alikua anavunja duka nilimtwanga rungu ya kisogo nimewasaidia polisi kumtanguliza kibaka mwenzenu akheraJAMBO LILILONITISHA NI KWAMBA SASA UGAIDI UMEANZA RASMI.
NIMESIKILIZA MIJADALA MBALIMBALI KWENYE CLUB HOUSE NA MARIA SPACES NA KUJIRIDHISHA KUWA MAANDAMANO YALIRATIBIWA KWA UMAKINI MKUBWA.
NA SASA HAO WAANDAMANAJI WAMEAZIMIA KUANZA MASHAMBULIZI YA KIMYA KIMYA DHIDI YA VIONGOZI WA CCM WA NGAZI ZOTE, WABUNGE, MADIWANI, VIONGOZI WA SERIKALI KAMA VILE WAKUU WA MIKOA, WILAYA NA WATENDAJI WA MITAA, VIJIJI NA KATA.
WANASEMA MAUAJI HAYO YATAWAHUSU PIA NDUGU, WATOTO NA FAMILIA ZA HAO VIONGOZI WALIOTAJWA.
PIA POLISI WA AINA YOYOTE AKIZUBAA MAHALI POPOTE ANASUGHULIKIWA KWA MISHALE YENYE SUMU KALI (SULPHURIC ACID)
KUTAKUWA PIA KUNAKULIPUA MAJENGO YA SERIKALI NA MIUNDOMBINU YA BIASHARA YA WATU WOTE WENYE UHUSIANO NA CCM AU SERIKALI.
NAAAMINI SISI CCM HATUWEZI KUJILINDA NA HATA VYOMBO VYA DOLA HAVINAUWEZO WA KULINDA MAENEO YOTE HAYO.
NASHAURI VIONGOZI WA CHAMA CHANGU NA SERIKALI YAKE WAFANYE MARIDHIANO HARAKA IWEZEKANAVYO.VIONGINEVYO TUTAANZA KUONA MILIPUKO NA MAUAJI YA KUSHTUKIZA MUDA SI MREFU.
Qmmmmmq nkikumbuka ulivyokuwa unacheka kuwa chadema hakuna nyumbu wa kuandamana nadhani picha uliipataWaambie hao vibaka wenzako watakufa sana Kama Kuku maana wanafanya uhalifu kama Nyumbu wasio na akili, kuna mmoja alikua anavunja duka nilimtwanga rungu ya kisogo nimewasaidia polisi kumtanguliza kibaka mwenzenu akhera
Hakuna maandamano pale ni wewe na vibaka wenzako mlitafuta upenyo wa kuvunja maduka ya watu na kuibaQmmmmmq nkikumbuka ulivyokuwa unacheka kuwa chadema hakuna nyumbu wa kuandamana nadhani picha uliipata
Hivi kumbe na yeye nyumba yake ilipigwa kibiriti?Matoleo yake wahalifu walienda mpk nyumbani kwake kumsalimia. Muliro akakimbia kama school boy mpk akavunja mguu wake.
Wahalifu toka nchi jirani hawakuishia hapo, walianza safari kuelekea Msoga ili naye wakamsalimie.
Mabakabaka wakawasihi hawa wahalifu toka nchi jirani wasiendelee na safari ya kwenda huko wakiwa maeneo ya Bunju B.
Acha uwongo mkuu.Waambie hao vibaka wenzako watakufa sana Kama Kuku maana wanafanya uhalifu kama Nyumbu wasio na akili, kuna mmoja alikua anavunja duka nilimtwanga rungu ya kisogo nimewasaidia polisi kumtanguliza kibaka mwenzenu akhera
Unaongea ujinga Abdul!Waambie hao vibaka wenzako watakufa sana Kama Kuku maana wanafanya uhalifu kama Nyumbu wasio na akili, kuna mmoja alikua anavunja duka nilimtwanga rungu ya kisogo nimewasaidia polisi kumtanguliza kibaka mwenzenu akhera
Hawakufika, anaishi Kimara Mwisho ndani ndaniKuna tetesi kuwa nyumba yake ilichomwa moto,je ni kweli?