- Thread starter
- #21
Akiwemo mama yako,dada zako,bibi zako na shangazi zako
Umemsahau manzi ake......
Akiwemo mama yako,dada zako,bibi zako na shangazi zako
[TABLE="class: outer_border, width: 700, align: center"]
[TR]
[TD]kwa dunia hii ya utandawazi.. haya mambo ni magumu sana kufanyika/kutekelezeka!
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kwel kaka ila naamin bado wapo wachache.........
[TABLE="class: outer_border, width: 500, align: left"]
[TR]
[TD]hao wachache waliopo, wanafundishwa mambo ya kijinga na majority walio haribika!..
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Akiwemo mama yako,dada zako,bibi zako na shangazi zako
Ni full kisanga siyo???
mkuu tafadhali tumia lugha ambayo inatambulika na wengi, sawa?..[/QUOTE
Nimekupata kamanda.....
wanawake ni wapumbavu sana!
Umemsahau manzi ake......
Mmaliziee kumwambiaa banaaa
asante tumesikia
Real!kuna mtu aliwahi leta uzi humu kuwa u feki uko zaidi kwenu, nywele feki,kucha feki,ngozi feki,nyusi feki
sometimes hata papuchi feki!
Dunia ya leo imekuwa na majaribu sana, kikubwa zaidi cha kushauriana ni kurudi kwny mafundisho ya imani zetu, tumeelekezwa kila kitu katika maandiko matakatifu na vivyo hivyo ndivyo tutakavyoweza kuendesha maisha yetu kufikia kwny uhalisia au u-fake ili tuweze kutimiza malengo ya kuumbwa kwetu! Hata vigezo vya mwanamke au mwanaume wa kuoa au kuolewa vipo dhahiri kabisa katika maandiko, kwa hiyo ni juu yetu kurudi kwny miongozo ya maisha yetu na kupata mrejesho ulio bora zaidi!
Wako wap mkuu???