Kumbuka vitu vitatu katika maisha

Kumbuka vitu vitatu katika maisha

dplus

Senior Member
Joined
Jun 14, 2016
Posts
161
Reaction score
130
Kumbuka vitu vitatu humpata mtu:
1.MARADHI
2.MAWAZO
3.MSIBA

Basi fanya vitu vitatu:
1.SALA
2.SADAKA
3.TOBA

Epuka vitu vitatu:
1.MADENI
2.FITINA
3.UVIVU

_____________
Vitu vitatu havimsubiri mtu
1.UMRI
2.WAKATI
3.UMAUTI

Ogopa sana vitu vitatu
1.UONGO
2.UZINZI
3.WIZI
********
Kumbuka vitu vitatu huleta mafanikio
1.JUHUDI
2.MAARIFA
3.BIDII

Yakupasa uwe na vitu vitatu muhimu
1.HEKIMA
2.UKARIMU
3.UTII
♥♥♥♥♥♥♥♥♥

Fahamu vitu vitatu vinaweza kumpata mtu wakati wowote.
1.AJARI
2.SHIDA
3.DHIKI

Kumbuka Dunia ni Kigeugeu ,Hivyo nitoe Pongezi Kwa Wanaojituma ,Usidhani ni Akili Hapana Ni Kwa Neema Ya ‪#‎MUNGU___TU‬.
 
Mkuu kwa nini umeweka vitu vitatu vitatu tu? Juhudi na bidii ni vitu viwili tofauti?
 
Hii niliisoma mwaka 2012. Wewe ndiyo unacopy na kupaste leo? Hongera jiniazi!
 
Je unayaishi? Mbona hukutukumbusha wengine? Unajua kama wewe ni mchoyo? Je! Mbona tunasali everyday na biblia ni zilezile???! Ukiweza kunijibu kwa hoja ni vema zaidi.
Hey Relax amigo. Usitokwe na mishipa ya shingo bure mkuu. Go live your life sir.
 
Pointi yake kubwa hapo ni moja tu yaani watu watoe sadaka hizo zingine zote ni ngonjera za kusindikiza ujumbe

Unaanza hivo...
uchokozi huo!
Hupendi kutoa sadaka!?
Kwa nini ukawaza pointi hiyo fasta?
 
Back
Top Bottom