Gegomnete Member Joined May 17, 2018 Posts 6 Reaction score 12 Oct 4, 2018 #1 Alikusomesha kwa kulima shamba hili hili akamalizia nguvu zote hapo. Mzee bado anahangaika hivi kijijini kwenye shamba lile lile huku wewe mjini unaishi kwa anasa na kuhonga wanawake simu za laki 9. Unajua laana nyingine si lazima waseme!
Alikusomesha kwa kulima shamba hili hili akamalizia nguvu zote hapo. Mzee bado anahangaika hivi kijijini kwenye shamba lile lile huku wewe mjini unaishi kwa anasa na kuhonga wanawake simu za laki 9. Unajua laana nyingine si lazima waseme!
Jabesss JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 345 Reaction score 327 Oct 4, 2018 #2 Tutafika tu mkuu
Saguda47 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 11,757 Reaction score 21,986 Oct 4, 2018 #3 Vijana utawakuta mjini na HARRIER matako ya nyani wanabadilisha viwanja vya kula bata na warembo, huko kijijini wazee wanasaidiwa na mfuko wa TASAF.
Vijana utawakuta mjini na HARRIER matako ya nyani wanabadilisha viwanja vya kula bata na warembo, huko kijijini wazee wanasaidiwa na mfuko wa TASAF.