englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,209
'Joni' na Kambarage
Mkuu ilikuaje Kambarage akamchenjia Joni ya kwamba hafai kuwa Rais?,alimkoroga kitu gani? Ebu dadavua mkuu....
Aliuunga mkono hoja ya G 55 ya kuitaka Tanganyika yetu
Miaka ya themanini mpaka tisini mwanzoni.Mmoja wa waliokuwa wakurugenzi ni huyu mzee mwenye Peacock hotel"Mfugale" pia alikuwepo Masasi (R.I.P) na Chalamila (R.I.P).Samahani hii ilikuwa ni mwaka gani?? Hayo ma kwacha