Kumbe Zari ni mwanamuziki?

Project imefanya tumfahamu na sio music. Hata wewe uliku hujui pia!
 
Nadhani Zari ni mmoja wa wanawake wachache wa kiganda walio wazuri. Sehemu kubwa ya wanawake wa kiganda hawavutii sana.
Ila mkuu hao watoto wamejaaliwa ushuzi wa hatari almost kama wote, but kuna wale wa kutoka kabila moja na m7 pia ni wasupuu Sana. "banyankole
 
Huyu lady anajua kutafuta pesa,ndio mana pesa ilipo naye yupo.
Mnyaru plus mganda huyo, ni pesa tupu. sio tu kwamba wanajua kuzitafuta, lakini pia wanajua kuzitumia. wkikushika ni lazima ufilisike
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom