Kumbe watanzania sio watu wa "sport sport"!

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,673
149,860
Nimeamini watanzania wakiamua jambo wanaweza na hata kama una madaraka makubwa bado unaweza usifue dafu.

Nimeamini pia usilete ugomvi wa mawe wakati unaishi kwenye nyumba ya vioo.

Nawashauri walio na madaraka kwa sasa waachane kabisa na kufukua makaburi unless wanajiamini wao ni wasafi maana wajue kuna siku watatoka katika nafasi zao na wataanza kuumbuliwa.

Nawashauri yaliyopita waacheni nayo badala yake waanze upya vinginevyo yatawashinda kwani simuoni huyo alie msafi kiasi cha kunyooshea wengine vidole na yeye kubaki salama.

Ni wazi watu sasa waanaanza kuishiwa uvumilivu.

Wanaoweza kufukua makaburi na kubaki salama ni wale tu ambao hawakuwa kushika madaraka ya nchi hii nyinyi wengine sidhani.

Kweli wabongo noma(sio wa sport sport hata kidogo).
 
Bora uwaambie maana hata Sizonje asipoaangalia yatamkuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom