Kumbe wanga huwa hawavai nguo?

Kumbe wanga huwa hawavai nguo?

mida hii nimetoka nje kwenda washroom.Ila cha ajabu nmemuona mwanamke akiwa uchi wa mnyama ameshikilia vifurush sijui anafanya nn. ile mbio nmerud ndan maana hayo mazingira magumu kinoma.nikawaita majiran wanisaidie il tuweze kumkamata. ila cha ajabu tumerud tukampata hayupo.ila nmeshuku kama sio mchaw n mwangaji.

ila kinachonshangaza kwan nn wanajidhalisha hivyo na kujisumbua hivyo.maana hii nchi kuna watu wanawaza tu mabaya kwa wengine.

ila hawaniwez wala sitikisiki mm silogek hata kidogo.
kwenye miti hapana wajenzi, badala ukamate ujipigie unakuja anzisha uzi huku
 
mida hii nimetoka nje kwenda washroom.Ila cha ajabu nmemuona mwanamke akiwa uchi wa mnyama ameshikilia vifurush sijui anafanya nn. ile mbio nmerud ndan maana hayo mazingira magumu kinoma.nikawaita majiran wanisaidie il tuweze kumkamata. ila cha ajabu tumerud tukampata hayupo.ila nmeshuku kama sio mchaw n mwangaji.

ila kinachonshangaza kwan nn wanajidhalisha hivyo na kujisumbua hivyo.maana hii nchi kuna watu wanawaza tu mabaya kwa wengine.

ila hawaniwez wala sitikisiki mm silogek hata kidogo.
Mshangazi kaja kukutunuku wewe unaita majirani. Kaona bora aingie chumbani kwake tuu. Siyo mchawi,
Mchawi haonekani.
 
mida hii nimetoka nje kwenda washroom.Ila cha ajabu nmemuona mwanamke akiwa uchi wa mnyama ameshikilia vifurush sijui anafanya nn. ile mbio nmerud ndan maana hayo mazingira magumu kinoma.nikawaita majiran wanisaidie il tuweze kumkamata. ila cha ajabu tumerud tukampata hayupo.ila nmeshuku kama sio mchaw n mwangaji.

ila kinachonshangaza kwan nn wanajidhalisha hivyo na kujisumbua hivyo.maana hii nchi kuna watu wanawaza tu mabaya kwa wengine.

ila hawaniwez wala sitikisiki mm silogek hata kidogo.
 
Kwanza naona dada mwenyewe anagida visungura ile mbaya! Maana si kwa majibu yake.
Duh ! ngoja aje akujibu au akuitie Kaka yake mnywaVisungura.

Kwenye kutongoza Mimi sina swaga naogopa ndio maana nimekuwa mpole humu , napenda kuwahakikishia usalama wadada wa Jf kuwa sina tabia hizo wala uwezo itokee tu Mwanamke mwenyewe anionee huruma
 
Takbiiir
 
Humu hukuna mwanamke atakeyekuonea huruma bwashee, labda shibela.
 
Back
Top Bottom