big-diamond
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 425
- 559
Hahahaha..., daah, we ni Me au Ke kwanini umeitaja hiyo kitu kwa madoido hivyo.., hahah, eti 'dyudyu'..Mkuu wanawake wanapendana sana tu....shida huja wakigundua wanashea dyudyu.
Angalia misibani...viccoba...sherehe... nk
Yani mkuu nilipata amani saaana.Wanaume ndio chanzo kikubwa cha minyukano ya wanawake.
Otherwise, wanawake wanapendana kwa dhati kuliko sisi wanaume
Sala na kaziOra Et Labora..
Kabisa Kaka Otorong'ong'oSala na kazi
Sure thing mkuu..hii spirit ni kwamba ilikuwepo saana kipindi hicho,Kuna siku, miaka ya nyuma, wakati ule fasheni mpya ilikuwa gari nyingi zikirudi reverse zinakuwa na mlio wa kutoa ishara gari inarudi, ili kuepusha ajali, kulikuwa na gari moja ina mliowa kipekee kidogo.
Gari ile ilikuwa ikirudi reverse, ina mlio kama mtoto analia.
Basi mimi sikushangaa sana, niliona hivi ni vituko vya Dar es salaam tu, ukishangaa shangaa hutafika unakokwenda.
Wakati gari lile linarudi nyuma hivyo, kulikuwa na mama mmoja, yule mama alitukana sana kitendo kizima cha kufanya sauti ya mtoto kuwa ni alarm ya gari.
Akafoka sana, akasema sana, akasema hawa watu wengine kama wachawi, nini kuweka sauti ya mtoto kuwa kama alarm hivyo.
Akasema kwake yeye kama mama akisikia sauti ya mtoto vile inamuumiza mpaka moyoni, bila kujali ni alarm au vipi.
Nikaona kweli kuna watu tumeumbwa tofauti.
Wakati wewe unaweza kusikia sauti ya mtoto analia ukaona karaha tu, kuna watu inawachoma mpaka moyoni kabisa.
Sasa mtu kama huyo akiinuka na kutoa siti ili mtoto anyamaze, siwezi kushangaa.
@Gyole au umesahau ule msemo wa adui wa mwanamke?Nani alikudanganya wanawake hatupendani
Waseminari utawajua tu.Sala na kazi
Wazee wa kuiba mvinyo kwa padri[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Waseminari utawajua tu.
Wazee wa kuiba mvinyo kwa padri[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahahaha...hapo uta confess kila kitu mkuu,Halafu unaenda kuungama lakini.
In vino veritas!
Teh tehHahahaha..., daah, we ni Me au Ke kwanini umeitaja hiyo kitu kwa madoido hivyo.., hahah, eti 'dyudyu'..