salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 654
Acha kudanganya wenzio wakati ukweli unaujua si unatoka huko mipini bomba inakoundiwa? au avatar ni zuga?Raha ya kibamia ujue kukitumia,unaweza ukawa na mkono wa mtoto bado ukakimbiwa,mapenzi ni mautundu yako tu ukiyajulia watapeana taarifa wenyewe hata kama una kibamia.