Kupendwa nao haina maana kwamba utaolewa na Mhindi, inaonekana wanataka kupata tu uroda kutoka kwako hao sio waoaji. Inategemea muonekano wako na unavyojilengesha, kujilegeza na kuwarembulia macho na kukubali wanayokuambia na mawasiliano yako nao ya kimahaba. Umetuonyesha jinsi unavyokula vitu vyao na kusepa, sio vizuri kufanya hivyo kama hutaki usikubali kuchukua hela zao, zitakuja kukutokea puani siku moja chunga sana. Wahindi ni waoga sana kwenye maswala ya kutongoza mara nyingi wanawake wa kiswahili ndio wanajitongozesha kwao kwa kutaka pesa au kuunganishiwa na wanaume wa kiswahili, nawajua nina marafiki wengi sana wa kihindi na nimeshawahi kuwaunganishia sana mademu wa kiswahili na kunilipa pesa kibao.