Wamasai ni wayahudi kweli,sasa kwanini wao weusi ni kwamba, wamasai walipopata watoto wenye ulemavu wa ngozi wazazi wa kiume walikuwa wakiwatupa,Lakini wamama waliwaficha mapangoni na kwenda kuwanyonyesha kwa siri,kwahiyo walipofika umri fulani walianza kukimbia kuelekea kaskazini kwenye hali ya ubaridi na Ndio wakawa wengi ndo hawa leo tunawaita weupe,na ndo maana unaambiwa masalia ya binadamu wa kale kabisa yalipatikana hapa kwetu,ndo ninavyoelewa