Kumbe uzuri wa mwanamke akiwa na Nguo tu

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,635
7,005
Asee nilikuwa nikiona yule totozi aliyejipiga mapicha ya utupu akiwa na nguo,najisemea moyoni,kuna watu wamebarikiwa.

Ila tangu nimwone akiwa mtupu,nimedharau mno!Hata havutii,kumbe nilimkosea tu Mungu kutamani vitu vya hovyo.

Yaani nimeona mpenzi wangu ni mara elfu kwa mvuto akiwa utupu,kuliko huyo niliyemuona mzuri akiwa na Nguo.

Yaani nyie wanawake mjue,uzuri wenu huonekana ukiwa na Nguo tu.Ndio maana ukivuliwa nguo mara moja mtu anakudharau.

Hasa ninyi mnaojiona wazuri,mkionesha utupu,hata wanaoonekana wabaya wanawazidi sana.

Jiangalieni sana
 
Kweli hasa iv vicelebrate vikiw uchu noma mifano tunao mingi tu...
By kaka mkubwa
 
Hiyo picha uliyoona iko wapi sasa ili tuamini
Asee nilikuwa nikiona yule totoz aliyejipiga mapicha ya utupu akiwa na nguo,najisemea moyoni,kuna watu wamebarikiwa.
Ila tangu nimwone akiwa mtupu,nimedharau mno!Hata havutii,kumbe nilimkosea tu Mungu kutamani vitu vya hovyo.
Yaani nimeona mpenzi wangu ni mara elfu kwa mvuto akiwa utupu,kuliko huyo niliyemuona mzuri akiwa na Nguo.
Yaani nyie wanawake mjue,uzuri wenu huonekana ukiwa na Nguo tu.Ndio maana ukivuliwa nguo mara moja mtu anakudharau.Hasa ninyi mnaojiona wazuri,mkionesha utupu,hata wanaoonekana wabaya wanawazidi sana.Jiangalieni sana
 
Mkuu inaonekana haujakomaa na kumudu kuyachanganua mazingira ya dunia hii.

Kwanza haujiulizi ni msukumo gani unaokufanya umpende mwanamke?

Je mwanamke unaye mtamani na kumpenda wewe, anapendwa na kila mtu, kwa nini?

Ukipata majibu hayo ya msingi ndiyo uelewe kuwa kupenda na kutamani ni mambo binafsi ya mtu na kuanza kuyachambua ni kashifa.

Mnene, mfupi, mwembamba, mweupe, mweusi, mwanya nk nk ni mapambo tu yanayokufanya msororeaji uchague unachokitaka.

Hakuna umbile baya, isipokuwa yapo maumbile ambayo si chaguo lako na kwa wengine ikawa ndiyo burudani kamili.

Ukisema maumbile usiyoyatamani wewe kwamba ni mabaya na kuanza kuisahihisha baiolojia kwa mtu kama wewe wa kupita duniani kama upepo, unakosea sana na unaingilia na kukosoa uumbaji wa Maulana ni laana unayoibeba bila kujua, kwa muumba wetu. Pole sana.
 
Asee nilikuwa nikiona yule totoz aliyejipiga mapicha ya utupu akiwa na nguo,najisemea moyoni,kuna watu wamebarikiwa.
Ila tangu nimwone akiwa mtupu,nimedharau mno!Hata havutii,kumbe nilimkosea tu Mungu kutamani vitu vya hovyo.
Yaani nimeona mpenzi wangu ni mara elfu kwa mvuto akiwa utupu,kuliko huyo niliyemuona mzuri akiwa na Nguo.
Yaani nyie wanawake mjue,uzuri wenu huonekana ukiwa na Nguo tu.Ndio maana ukivuliwa nguo mara moja mtu anakudharau.Hasa ninyi mnaojiona wazuri,mkionesha utupu,hata wanaoonekana wabaya wanawazidi sana.Jiangalieni sana
Unataka tukuamini bila picha?
 
Weka picha ya huyo mapenzi wako ili tutadhimini, isije ikawa ni maneno tu, hata huyo wako macho ya wengine wakimuona akiwa mtupu ni sawa na huyo tu unayemsema
 
Asee nilikuwa nikiona yule totoz aliyejipiga mapicha ya utupu akiwa na nguo,najisemea moyoni,kuna watu wamebarikiwa.
Ila tangu nimwone akiwa mtupu,nimedharau mno!Hata havutii,kumbe nilimkosea tu Mungu kutamani vitu vya hovyo.
Yaani nimeona mpenzi wangu ni mara elfu kwa mvuto akiwa utupu,kuliko huyo niliyemuona mzuri akiwa na Nguo.
Yaani nyie wanawake mjue,uzuri wenu huonekana ukiwa na Nguo tu.Ndio maana ukivuliwa nguo mara moja mtu anakudharau.Hasa ninyi mnaojiona wazuri,mkionesha utupu,hata wanaoonekana wabaya wanawazidi sana.Jiangalieni sana
Ila kwa wazungu ni tofauti. Mzungu akiwa na nguo hata havutiii, ngoja avue Sasa.
 
Yale ni mafuta...mlundikano was mafuta.
Kama sio mafuta basi ni cellulite..haivutii kabisaa!
Hutokana sana na kupenda kula vyakula vyenye mafuta mengi.
Mfano sanchoka ni mnene was asili ila mbona hayuko vile,yupo soft?
Mbona na ww ni kama unayo hayo mabonde?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom