Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,888
- 141,534
Dah!Tatizo lilikua Magufuli. Shida ilikua ni Magufuli.
Magufuli alizibia wanaojiita wastaarabu/walamba asali ulaji hivyoikawa ni kumtukana kadri wawezavyo kwa kila alilokua analifanya.
Mi bado nasherehekea Membe kufa 🤣🤣😀[emoji23][emoji23][emoji23]Ila Mungu amejua kuyaumbua haya mataahira ya hapa nchini.
Kwanza walisema Magu ameanzisha miradi kwa kukurupuka ila sasa hivi wanajisifia kutekeleza na kupiga nayo picha.
Sorry umeongea nn mbona kama umbea tu hamna vina wala nukta...Sabalkheri na msalkheri popote pale mlipo.
Imekuwa kitambo kidogo tokea tulonge.
Basi bana mi kwa ujinga wangu huu nikadhani kwamba ushamba ushamba uliondoka na Mwendazake!
Sasa Ngabu unazungumzia ushamba ushamba gani tena?
Ni ule ushamba ushamba wa kwenda kupokea ndege mpya.
Nilidhani Bi. Mdashi yeye ni mstaarabu. Nilidhani ye si mshamba kama lile Lisukuma lililoendazake.
Hamadi! Kumbe ndivyo sivyo.
Yeye na wenzake nao ni washamba tu. Washamba wa ndege.
Ndo nini sasa wote hao kwenda kurundikana sehemu moja eti kupokea dege la mizigo.
Kwani hawajawahi kuyaona madege? Si wanayapanda na kuruka nayo kila kukicha wakiwa wanaipuyanga dunia 🤔.
Ama kweli mtu unaweza ukamtoa shambani lakini huwezi kuutoa ushamba uliopo ndani mwake.
Chiki hazikusaidii unajazo sumu moyoni bila sababuSabalkheri na msalkheri popote pale mlipo.
Imekuwa kitambo kidogo tokea tulonge.
Basi bana mi kwa ujinga wangu huu nikadhani kwamba ushamba ushamba uliondoka na Mwendazake!
Sasa Ngabu unazungumzia ushamba ushamba gani tena?
Ni ule ushamba ushamba wa kwenda kupokea ndege mpya.
Nilidhani Bi. Mdashi yeye ni mstaarabu. Nilidhani ye si mshamba kama lile Lisukuma lililoendazake.
Hamadi! Kumbe ndivyo sivyo.
Yeye na wenzake nao ni washamba tu. Washamba wa ndege.
Ndo nini sasa wote hao kwenda kurundikana sehemu moja eti kupokea dege la mizigo.
Kwani hawajawahi kuyaona madege? Si wanayapanda na kuruka nayo kila kukicha wakiwa wanaipuyanga dunia 🤔.
Ama kweli mtu unaweza ukamtoa shambani lakini huwezi kuutoa ushamba uliopo ndani mwake.
[emoji23][emoji23][emoji23]Jana nikamuona zitoo anahuzuni kweli eti anaadhimisha miaka 9 ya kifo cha mama yake, nikajiuliza kwanini hajazikwa pembeni yake? Ina maana hakumpenda?Mi bado nasherehekea Membe kufa [emoji1787][emoji1787][emoji3]
Nawe unauliza nini?Sorry umeongea nn mbona kama umbea tu hamna vina wala nukta...
This is way too much.. Unaonesha namna gani Mwafrika habadiliki na kuwa na ajili hata akiishi Ulaya miaka mia moja! Hii inadhihirisha wazi kuwa arguments zako hutawaliwa na chuki na mahaba na wala sio facts.Mi bado nasherehekea Membe kufa 🤣🤣😀
Mi siishi Ulaya.This is way too much.. Unaonesha namna gani Mwafrika habadiliki na kuwa na ajili hata akiishi Ulaya miaka mia moja! Hii inadhihirisha wazi kuwa arguments zako hutawaliwa na chuki na mahaba na wala sio facts.
Kifo cha Membe kimekupunguza shida kwako na familia yako? Kwanini umchukie mtu asiyekufahamu wala kugusa maisha yako na ya familia yako directly?Mi siishi Ulaya.
Na bado sijamaliza kusherehekea vifo.
IDGAF 🤪Kifo cha Membe kimekupunguza shida kwako na familia yako? Kwanini umchukie mtu asiyekufahamu wala kugusa maisha yako na ya familia yako directly?
Basi bana mi kwa ujinga wangu huu
Sabalkheri
magufuli aliziba mianya ya wahuni. waakaanza kumuita jina baya kwa sauti ili wamuue. nakweli wakafanikiwa. ila. damu yake. nambegu aloipanda kwa watanzania itamea hatumaye itaota mizizi ipo siku ambayo Haina jina. atatokeaa zaidi ya magufuli. nchi itasongaSabalkheri na msalkheri popote pale mlipo.
Imekuwa kitambo kidogo tokea tulonge.
Basi bana mi kwa ujinga wangu huu nikadhani kwamba ushamba ushamba uliondoka na Mwendazake!
Sasa Ngabu unazungumzia ushamba ushamba gani tena?
Ni ule ushamba ushamba wa kwenda kupokea ndege mpya.
Nilidhani Bi. Mdashi yeye ni mstaarabu. Nilidhani ye si mshamba kama lile Lisukuma lililoendazake.
Hamadi! Kumbe ndivyo sivyo.
Yeye na wenzake nao ni washamba tu. Washamba wa ndege.
Ndo nini sasa wote hao kwenda kurundikana sehemu moja eti kupokea dege la mizigo.
Kwani hawajawahi kuyaona madege? Si wanayapanda na kuruka nayo kila kukicha wakiwa wanaipuyanga dunia [emoji848].
Ama kweli mtu unaweza ukamtoa shambani lakini huwezi kuutoa ushamba uliopo ndani mwake.
Nimeandika sabalkheri na msalkheri popote pale mlipo.Kweli wewe ni mjinga kwa ujinga huu👇🏻
Subalkheir ni "Asubuhi njema" je hivi sasa ni asubuhi??
Nimeandika sabalkheri na msalkheri popote pale mlipo.
New Zealand ni asubuhi sasa hivi.
🖕