Na vipi kuhusu China ambayo ni ya pili kiuchumi Duniani na uchumi wake ni azaidi ya uchumi wa Italy, Canada, Na Uk kwa pamoja... Mbona haipo?Urusi aliingizwa ki'heshima' tu kwa kuwa ana 'nyuklia' vinginevyo wamemsusa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
China....au nayo n maskn???G7- ambayo inajumuisha Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan, Uingereza na Marekani.
Kumbe Urusi haipo kwenye huo mkumbo .
G7- ambayo inajumuisha Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan, Uingereza na Marekani.
Kumbe Urusi haipo kwenye huo mkumbo .
Wakati tunaanzisha hiyo jumuiya China alikuwa kama Congo tu..Kakua juzijuzi tu..Na vipi kuhusu China ambayo ni ya pili kiuchumi Duniani na uchumi wake ni azaidi ya uchumi wa Italy, Canada, Na Uk kwa pamoja... Mbona haipo?
Hizi njugu sijui mnamezeshwa na nani? Una maanisha nini unaposema uchumi wa Russia haufiki hata jimbo moja la US?Russia uchumi wake haifikii hata uchumi wa Jimbo Moja la Texas huko marekani alafu unategemea uione Kwenye kundi la g7?[emoji848]
Utasubiri sana
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
G20 yumo na Waziri wake mambo ya nje yupo bizz anataka kuwakutanisha Putini na Biden ingawa Biden hana interestG7- ambayo inajumuisha Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan, Uingereza na Marekani.
Kumbe Urusi haipo kwenye huo mkumbo .
Jifunze kufatilia mambo! Russia aliondolewa Mwaka 2014 kwasababu za kisiasa za kuichukia Crimea! Ila alikuwa membe wa G8 tangia 1976 bwa shekheeG7- ambayo inajumuisha Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan, Uingereza na Marekani.
Kumbe Urusi haipo kwenye huo mkumbo .
Russia hakuingia pekeake 1976! Aliingia na Canada, je, Canada alikuwa na nn?Urusi aliingizwa ki'heshima' tu kwa kuwa ana 'nyuklia' vinginevyo wamemsusa 😂 😂 😂
Canada mzuri ki uchumi/viwanda..Russia hakuingia pekeake 1976! Aliingia na Canada, je, Canada alikuwa na nn?
Sa kuwa G7 ndio nini mbona mchina hayupo afu Muingereza ,Mfaransa na Muitaly wa nini wamebaki ni majina tu.G7- ambayo inajumuisha Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan, Uingereza na Marekani.
Kumbe Urusi haipo kwenye huo mkumbo .
Bas ata China ni nchi ya 2 dunian kiuchumi lakin haipo G7Canada mzuri ki uchumi/viwanda..
G7 ni nchi zilizoendelea sana..Bas ata China ni nchi ya 2 dunian kiuchumi lakin haipo G7
Hakuna nchi inayokosa masikioni USA kwenye kuna omba omba hata sehemu ya Kulala hawanaG7 ni nchi zilizoendelea sana..
Kuna G20 pia...
China kuna watu hawajui kesho 'itakuwaje' .Japo uchumi uko juu China kuna eneo sawa na mbagala tu ki maendeleo.
USA ni nchi iliyoendelea sana...G7 ni nchi zilizoendelea sana. China, India,Brazil nk ni nchi zinazoendelea....Hakuna nchi inayokosa masikioni USA kwenye kuna omba omba hata sehemu ya Kulala hawana
China ana uchumi mkubwa kuliko nchi hizo zinazojiita G7. Mbona haujiulizi kwa china kutokuwepo?G7- ambayo inajumuisha Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan, Uingereza na Marekani.
Kumbe Urusi haipo kwenye huo mkumbo .
Unapewa facts za wadau umekalia kukaza fuvu tu.USA ni nchi iliyoendelea sana...G7 ni nchi zilizoendelea sana. China, India,Brazil nk ni nchi zinazoendelea....
Rudi ukasome tena google......................Unapewa facts za wadau umekalia kukaza fuvu tu.
Ushaambiwa Russia aliondolewa 2014 due to Diplomatic conflicts.
Uchumi wa China ni karibu x10 ya uchumi wa Italy lakini China haimo.
Acha kukaza fuvu.
Kuna kipindi flani tulitaka kuwa"donor country",,,,tatizo lenu mkaleta kiswahili tele mdomoni.i wish siku moja na tanzania iwemo but not for this ccmm