This is what we call "Midomo"
Not clear still.
We jamaa mleta mada haujitambui kbsa,bango umelielewa ama unapost mambo usiyokua na uelewa nayo!?kwani uongo?? uyo ngassa mlimpata??manji and family sports club...
Mdomo huo "the magnificient", mdomo....
Okwi tayari amenukuliwa na gazeti la Championi la leo kuwa pamoja na kuwa bado ana mkataba wa mwaka mmoja na Simba lkn bado haja'sign kukipiga msimu uliopita na hategemei ksbb anategemea asepe zake kwenda kujaribu bahati nyingine kule Ulaya ambapo alichemka,ingawaje hakuweka bayana lkn inaonekana Simba bado wanasuasua kumkamatisha fungu alilolihitaji na yeye ameanza kufikiria otherwise.
Kunani pale Simba?