Priceless soul
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,484
- 1,734
Ng'ombe hazeeki main mkuu, hutaki nkupunguzie utamu aliouacha bibiWe kibabu..HUNA VIGEZO....tulia na bibi
Ng'ombe hazeeki main mkuu, hutaki nkupunguzie utamu aliouacha bibiWe kibabu..HUNA VIGEZO....tulia na bibi
Humwamini lakini ushampa papuchi anaila, anaiosha, anaichezea nk!!!!Jamani Mimi niliachana na mpenzi wangu mwaka huu mwezi wa 1 baada ya kuachanane sikuweza kuwa na mahusiano serious tena.na Mimi sio mtembeaji ni wakulala sana ndani ivyo sikuweza kukutana kutana na watu may be ningeweza pata approaching za kutosha kingine Nina sifa ambaz nazipenda utakuta anayeniapproach anakuwa hana vigezo ninavyovitaka ivyo naishia kump kalenda mi napenda sana wanaume warefu wenye colour kidogo asiwe mweupe sana sivutiwi nao wala mweusi pia yani nataka tumatch kidogo coz mi nina kicolour kidogo pia meanx chocolate colour.
Na sipendi wanaume wanene napenda models tu coz even maself sio mnene pia bas kuna siku nikamwon mwanaum ambae alikidh vigez kasor dini nikaanza tu kumuomb no tukawa tunawasilian at the end nikamwuliza kama ana mahusiano nikaanza tu kumsifia sifia mwisho wa siku akaingia ring mwenyew tukaanza mahusiano akanipenda sana ila mi nimeamua kumuacha but still anaumia and still anahitaji mahusiano nimemwacha coz ya dini yake ananipenda sana even though mimi ndio nilianzaga kumuomb no akazama mazima
Nilivyoachana naye kuna siku nikamwona tena mwanaum mwenye character ambazo nazipenda tulikutana kwenye gari wakati tunasafir nikamwomba no tukawa tunawasiliana tu siku akaniita niende kwao yani jamani katika charting zetu hata hatukutongozana zaidi ya kufahamiana tu majina kila mmoja anakoishi etc kilichotokea ni kwamba nilivyoenda kwao tulivyokutana tu tukakumbatiana kihisia kimapenzi I mean na yeye niliona ana hisia na Mimi coz kumbato lake lilionesha tu tulikumbatiana kama dk mbili tatu tukaenda maeneo ya beach hatukukaa sawa tukaanz kiss tongue so ndo mwanaume ambaye nipo nae kwa sasa na anasema ananipenda na anadai yuko single pia na ata nikiwa na shida ananisaidia sana na ninaenda kwao Mara nyingi tu anaishi alone uyu nimemkubar coz ata dini tunaendan
Sasa nimemficha umri nimemzid mwaka mmoja but anashow love sana nikitaka kwenda kwao ananip nauli naenda tunaenjoy bax life linaenda sasa kinachonipa shida ni kutomwamini coz mimi ndo niliomba no yani nakuwa sina uhakika kama ananipenda but ananioneshea upendo tukienda kuoga ananiogesha ananisugua k ivo yan sasa nashindwa kumpenda sana namsoma kwani japo nampenda Ila mimi bado simwamini.japo ye ananiambia nimwamini na ntazidi kumjua jinsi tunavyozidi kusurvive
..Dudu la kike unachelewa sana rafiki, unajikandamiza mwenyewe, Tongoza, Igiza somesha sana upate unacho taka ule maisha Dunia inaenda kasi sana. kusoma koote huko bado ujajuaga tu, wenzako tunatongozwa hata na vitotot vidogo, tena kanakwambia kaka usiogope, miaka 30 hata haikuhusu nimetaka mimi ntakupa mie, na ndom nimejiandaa kabisaa, utasikia '' kaka ipige sana, kabisa kabisa ikome!!
Asante kwa kuquote alichoandikaHumwamini lakini ushampa papuchi anaila, anaiosha, anaichezea nk!!!!
Kafuta etiAsante kwa kuquote alichoandika
Anaishi alone kwao au kwake!
Rafiki naomba nitongozeWe kibabu..HUNA VIGEZO....tulia na bibi
Kwanini sasa ulifuta? Nimshukuru aliyekukwoti, maana nimeisomea kwake
Unatongozeka?Rafiki naomba nitongoze
Wewe ni Ke mkuu?Unatongozeka?
Hapana... Kwani swali hilo anatakiwa aulize KE pekee? Maana hamchelewi kuwaita watoto wa wenzenu MALAYAWewe ni Ke mkuu?
Kwa hiyo mkuu umeamua kununua kesi za ke wenye K zao?Hapana... Kwani swali hilo anatakiwa aulize KE pekee? Maana hamchelewi kuwaita watoto wa wenzenu MALAYA
Hapana mkuu... ni katika harakati za kuwaza nje ya boxKwa hiyo mkuu umeamua kununua kesi za ke wenye K zao?