Kumbe ukishauriwa vizuri inasaidia

Kumbe ukishauriwa vizuri inasaidia

Mzuqa wanaJamvi

Kuna aliyekuwa rafiki yangu nilimkopesha kama shilingi 1.6 M tarehe 11 mwezi uliopita. Akaniahidi mwisho wa mwezi wa pili atanirudishia. Sikumpa online ni kosa kubwa nilifanya.

Sasa toka mwanzo wa mwezi huu ananizungusha. Sasa kilichoniumiza zaidi jana kaniambia nisimsumbue na kuniblock kote kwaanzia WhatsApp. Nilishikwa na ghazab ya aina yake yani adrenaline ilipanda juu sana. Nikataka kulipiza kisasi usiku.

Bahati nzuri nikapigiwa na rafiki yangu mwengine Simu na nikasimulia. Nikapewa ushauri. Moyo umetulia sasa nimeamua kupotezea ila bado na maumivu moyoni. Nilitaka nimfanyie kitu mbaya sana na ningefungwa.

pesa ukimpa mtu mwingine sio yako,kuwa mpole
 
Niliwahi kununua gari kwa milioni 22 likafa kwenye ajali one month later. Since then hakuna kitu nitapoteza kikaniuma. Kwa hili pigo, lilikuwa pigo kubwa sana kwangu ukichukulia nilikuwa nimekopa milioni 10 benki kulinunua. Yani nililipa deni la benki kwa kitu ambacho hakikuwa na manufaa kwangu.
 
Mzuqa wanaJamvi

Kuna aliyekuwa rafiki yangu nilimkopesha kama shilingi 1.6 M tarehe 11 mwezi uliopita. Akaniahidi mwisho wa mwezi wa pili atanirudishia. Sikumpa online ni kosa kubwa nilifanya.

Sasa toka mwanzo wa mwezi huu ananizungusha. Sasa kilichoniumiza zaidi jana kaniambia nisimsumbue na kuniblock kote kwaanzia WhatsApp. Nilishikwa na ghazab ya aina yake yani adrenaline ilipanda juu sana. Nikataka kulipiza kisasi usiku.

Bahati nzuri nikapigiwa na rafiki yangu mwengine Simu na nikasimulia. Nikapewa ushauri. Moyo umetulia sasa nimeamua kupotezea ila bado na maumivu moyoni. Nilitaka nimfanyie kitu mbaya sana na ningefungwa.
We jamaa yaani kuishi kote kwa mabeberu bado una mind hata hiyo 1.6 M urudishiwe?
 
Aaagh, bora anipige danadana kuliko kuniambia eti nisimsumbue, maana naweza nikamteka bure
 
Ķama umeishiwa pesa rudi tu bongo kuna viwanda vingi tu vya wahindi kuliko kukaa uko kwa mabeberu
Dogo nirudi bongo kufanya nini? Kwanza laifu linaniendea vizuri sana sasa hivi. Nimeshatoka kwenye shared apartment naishi kwenye my own apartment na my own address.
Siongeagi saaanaaa. Cheq hapo chini maamaee
👇👇👇👇👇👇
530bfae8080cdc241af802c458d9e914cf51c828.jpg

ca7cdc3ee09cdf1b3c49aea23fa6212fe536e148.jpg
27fdd3bf357e4e44d847f93477baadfbe0428d09.jpg
 
Back
Top Bottom