Wenzetu wanakula nyanya na kabechi,simu ya nokia rahisi kabisa ila akaunti inasoma mamilioni/mabilioni!!!sisi mtoto wa kidato cha pili ana simu ya blackberry na hana hata shilingi mfukoni na akaunti hana.wabongo tunapenda kujishebedua