Ufananisho wa Kiba na Mond kisanii kwa sasa ni sawa na kumfananisha na mvulana wa mwaka wa kwanza wa shule ya upili ambaye ni Kiba na Kijana wa mwaka wa kwanza kwenye shahada ya Uzamili ambaye ni Mond!
Mkuu ni ukweli...Kiba azidi kuandaa ''Seduce Him'' nyingi ili avutie wanaopenda tabia za mende ila Mond tunammanya sanaaa! Kwanza mond ana nyota ya Chips kila mtu anampenda!